Nitaenda Chato kuwashitaki Polepole, Kabudi na Bashiru; nitapitia Butiama kuwashitaki Butiku, Warioba na Prof. Shivji

Nitaenda Chato kuwashitaki Polepole, Kabudi na Bashiru; nitapitia Butiama kuwashitaki Butiku, Warioba na Prof. Shivji

Wivu utakumalizaa, usema hawana teknologia? Umebahatika kufika au kusimuliwa Dubai wewe. Ebu tulizeni kerere wasije kuondokaa. Unadhani uwekezaji wa mwalabu ni sasawa na hao wakoloni wako?? Ebu tulizeni kerere zenu uchwara na kujifanya mnajua kumbe mnashinikizwa na mihemko ya hovyooo.
Yaaan kerere badala ya kelele tu, sisomi andiko lako lolote.
 
Unaweza kudhitisha wapi wameandikiana mkatabaa, kama sio mihemko yenu uchwaraaa. Makubaliano yameletwa bungeni, yamedadafuliwa, Bado hata nyinyi wenyeweeee maoni yenu yamechukuliwaa, asasi mbalimbali zimepewa uhuru wakuongea na kupendwkeza walitakalo, maoni yenu yanapokelewaa, Sasa niambieni huo umangungo uko wapiiii. Andiko liko wazi adi wewe umelisoma na kutoa mawazooo, Sasa huo umangungo uko wapiiii?? Toeni mapendekezo ila sio hizo kejerii zenu za ajabuuu. Mambo yako wazi kabisaaa Sasa Kuna usiri upiii hapooo
Salaam ndugu Ujamaa, "Umangungo ni nadharia tu usihofu" hoja ni amendment za vifungu gani zilifanyika baada ya Mjadala wa DPW bungeni, Je wangapi walijikita kujadili Mkataba na vifungu vyake pasee? Muda wa ukusanyaji wa maoni hata wiki ilifika? Tusipuuze kelele na kukebei wanao hoji, Wana kitu, wasikilizwe, hakuna Mtanzania mwenye chuki na DPW, tatizo ni ANDIKO na vifungu vyake, Asante ndugu Ujamaa ni Muhimu.
 
Tangu lini serikali ifanye KAZI ZAKE Kila kitu kinajaduliwaaa?? Kwa kifungu kipi Cha sheriaa? Kwani unataka Kila badiliko ujulishwee weweee?? Muuuulize mubunge wakooo atakwambia. Kama hakuna marekebishoo na mjadala mpanaa raisi ameweka waziiii kabisaaa, maoni yenu yamechukuliwaa, Sasa mnalalamika ni ni ?? Raisi amekuwaa muwaaaziii kawawekea mjadiliii. Sasa kama nyie niwetaalaamu wa mambo, andiko mnalooo toeni maoni kipi kibadlishweee au kiachweee, siokulalamikaa tuuuu.
 
Wivu utakumalizaa, usema hawana teknologia? Umebahatika kufika au kusimuliwa Dubai wewe. Ebu tulizeni kerere wasije kuondokaa. Unadhani uwekezaji wa mwalabu ni sasawa na hao wakoloni wako?? Ebu tulizeni kerere zenu uchwara na kujifanya mnajua kumbe mnashinikizwa na mihemko ya hovyooo.
Hawana lolote, hiyo teknolojia unayoiona yote ni ya kununua. Na Kwanini tusiende Kwa hao waliowauzia badala ya Hawa wajinga wenzetu?
 
Hawana lolote, hiyo teknolojia unayoiona yote ni ya kununua. Na Kwanini tusiende Kwa hao waliowauzia badala ya Hawa wajinga wenzetu?
Sema unawataka hao wakoloni wako, wanunue wasinunue uwekezaji anaweza yoyote kikubwa akidhi vigezooo. Acheniiii wivuuuu, tulieniii KAZI ifanyikeeee. Kwakuwa hakuna mkatabaa wa miaka kadhaa, wakishindwa wataondokaa. Ila tulizeni kerere tusiharibu mazingiraa ya uwekezajiii. Sawaaa?
 
Back
Top Bottom