Nitaenda Chato kuwashitaki Polepole, Kabudi na Bashiru; nitapitia Butiama kuwashitaki Butiku, Warioba na Prof. Shivji

Yaaan kerere badala ya kelele tu, sisomi andiko lako lolote.
 
Salaam ndugu Ujamaa, "Umangungo ni nadharia tu usihofu" hoja ni amendment za vifungu gani zilifanyika baada ya Mjadala wa DPW bungeni, Je wangapi walijikita kujadili Mkataba na vifungu vyake pasee? Muda wa ukusanyaji wa maoni hata wiki ilifika? Tusipuuze kelele na kukebei wanao hoji, Wana kitu, wasikilizwe, hakuna Mtanzania mwenye chuki na DPW, tatizo ni ANDIKO na vifungu vyake, Asante ndugu Ujamaa ni Muhimu.
 
Tangu lini serikali ifanye KAZI ZAKE Kila kitu kinajaduliwaaa?? Kwa kifungu kipi Cha sheriaa? Kwani unataka Kila badiliko ujulishwee weweee?? Muuuulize mubunge wakooo atakwambia. Kama hakuna marekebishoo na mjadala mpanaa raisi ameweka waziiii kabisaaa, maoni yenu yamechukuliwaa, Sasa mnalalamika ni ni ?? Raisi amekuwaa muwaaaziii kawawekea mjadiliii. Sasa kama nyie niwetaalaamu wa mambo, andiko mnalooo toeni maoni kipi kibadlishweee au kiachweee, siokulalamikaa tuuuu.
 
Hawana lolote, hiyo teknolojia unayoiona yote ni ya kununua. Na Kwanini tusiende Kwa hao waliowauzia badala ya Hawa wajinga wenzetu?
 
Hawana lolote, hiyo teknolojia unayoiona yote ni ya kununua. Na Kwanini tusiende Kwa hao waliowauzia badala ya Hawa wajinga wenzetu?
Sema unawataka hao wakoloni wako, wanunue wasinunue uwekezaji anaweza yoyote kikubwa akidhi vigezooo. Acheniiii wivuuuu, tulieniii KAZI ifanyikeeee. Kwakuwa hakuna mkatabaa wa miaka kadhaa, wakishindwa wataondokaa. Ila tulizeni kerere tusiharibu mazingiraa ya uwekezajiii. Sawaaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…