Nitaenda Kanisani kutoa sadaka maalum ya shukrani

Mungu Baba mwenye enzi yote Muumba wa mbingu na nchi asante baba kwa kutuvusha salama sisi CHADEMA kwenye huu uchaguzi wa kihistoria.

Mara tu baada ya ushindi wa Lissu nikajiwa na wazo la kurudi Kilingeni nikafanye kafara lakini nikakumbuka kumbe nilishatoka huko 💪🏿🙏🏿

Bila kusema uongo mimi ni mmojawapo wa wana CHADEMA walioumizwa vibaya sana na yale yote mabaya yaliyokuwa yakiendelea ndani ya chama chetu.

Nikiri wazi kama ni kusali kuiombea CHADEMA basi kipindi hiki nilisali
. Mambo ya kuwatusi viongozi wakuu
. Mambo ya kuwadhihaki
. Mambo ya kuoneshana chuki za waziwazi kati ya makada
. Mambo ya kuzushiwa kila aina ya baya
. Post potofu zilizojaa uzushi na upuuzi wa kila aina hapa JF.. Na mengine mengi ni vitu ambavyo nilivibeba kwa maumivu makubwa mno

Kuna baadhi ya taarifa nilikuwa nazipata kutoka mbali jinsi mambo yanavyoendelea kuelekea uchaguzi wa kihistoria..zilikuwa zinatisha sana

LAKINI Mungu wetu ni Mungu wa wote na matendo yake si matendo ya binadamu.. Ametufuta machozi

Chama kilikuwa kinatengenezewa zengwe la mpasuko mkubwa sana.. In fact wangefanikiwa ndio ingekuwa mwisho wa CHADEMA😭😭😭

Sijui tungeenda wapi huko Mungu wangu.. Lakini kwa upendo wake mkuu Mungu wetu ametuvusha salama.. Hili nalo limepita.. Hakuna tufani nyingine itaweza kuitikisa CHADEMA kwa miaka mingi ijayo💪🏿🙏🏿

Leo kwa mara ya kwanza ndani ya siku 30 nimehisi njaa na kula chakula amabcho naona kina ladha❤🙏🏿

Nitaenda kutoa sadaka ya shukrani.
View attachment 3210103
Barikiwa sana Mtumishi wa Bwana, Mshana Jr
 
Haukuwa peke yako mkuu. Ushindi wa lisu umeponya mioyo ya watu wengi vijana kwa wazee wenye mapenzi mema na hili taifa. Utakapotoa sadaka yako kumbuka kumuombea lisu kwa kazi kubwa ya kuliongoza taifa kuing'oa ccm madarakani na naamini inawezekana. Lisu awe karhbu na viongozi wa dini wafanya biashara na wananchi. Mungu ibariki Tanzania. Mungu mbariki TAL.
 
Utabiri ule wa Sheikh Yahaya....
20241218_051429.jpg
 
Kutokana na matukio ya hizi chaguzi mbili zilizopita.........kwa mbaaaaaaaali kuna ka wazo kananiambia kuwa nianze kuzifuatilia siasa za CHADEMA maana kama vile huko mbele ya safari zina ka mwanga flani kameanza kuonekana
 
Back
Top Bottom