Nitaenda Kanisani kutoa sadaka maalum ya shukrani

Barikiwa sana Mtumishi wa Bwana, Mshana Jr
 
Haukuwa peke yako mkuu. Ushindi wa lisu umeponya mioyo ya watu wengi vijana kwa wazee wenye mapenzi mema na hili taifa. Utakapotoa sadaka yako kumbuka kumuombea lisu kwa kazi kubwa ya kuliongoza taifa kuing'oa ccm madarakani na naamini inawezekana. Lisu awe karhbu na viongozi wa dini wafanya biashara na wananchi. Mungu ibariki Tanzania. Mungu mbariki TAL.
 
Utabiri ule wa Sheikh Yahaya....
 
Kutokana na matukio ya hizi chaguzi mbili zilizopita.........kwa mbaaaaaaaali kuna ka wazo kananiambia kuwa nianze kuzifuatilia siasa za CHADEMA maana kama vile huko mbele ya safari zina ka mwanga flani kameanza kuonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ