Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Sisi watu tuna akili ndogo.
Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini ? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu ?
Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika weusi ?
Mbona tunazidi kuwa vichaa, wendawazimu na matahira kupitia hizi imani zao ?
Kiliwa shinda nini kutulazimisha kusoma na kutupa elimu ? Kwa nini hizo nguvu za kueneza dini zao wasingetumia kutulazimisha elimu wenda leo hii tusingekuwa wapumbavu hivi.
Ukikua hautoona ni wajinga upo gizani Kwa Sasa huwezi elewa hata sisi tulikuwa kama weweUkitaka kumtawala mtu, badili tamaduni na imani yake. Hakikisha anaamini katika tamaduni zako na imani zako.
Ndicho walichofanya hawa wamissionari na waarabu wa maswali.
Leo hii maandiko ya mababu wa kizungu, kiyahudi na na waarabu yanatawala waafrika kuliko hata yanavyotawala wazungu wenyewe.
Watu wamezaliwa kwenye imani zenye mafundisho yaliyowajaza hofu, wanaogopa kuhoji mafundisho ya dini za kiarabu na kizungu.
Wamepewa matumaini hewa ya kwenda sehemu ya dhahania iitwayo peponi.
Hata vijana wamesoma historia za hizi dini na uongo uko dhahiri lakini mazoea yamewaelemea, wameweka akili kando, wanafuata hisia.
Wajinga sana watu hawa.
Dini zilitumika na wakoloni kama nyenzo mojawapo ya utawala pia.Sisi watu tuna akili ndogo.
Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini ? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu ?
Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika weusi ?
Mbona tunazidi kuwa vichaa, wendawazimu na matahira kupitia hizi imani zao ?
Kiliwa shinda nini kutulazimisha kusoma na kutupa elimu ? Kwa nini hizo nguvu za kueneza dini zao wasingetumia kutulazimisha elimu wenda leo hii tusingekuwa wapumbavu hivi.
Una'assume sijakua.Ukikua hautoona ni wajinga upo gizani Kwa Sasa huwezi elewa hata sisi tulikuwa kama wewe
Labda hauzungumzii ukristo maana ilikuwa vise versaSisi watu tuna akili ndogo.
Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini ? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu ?
Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika weusi ?
Mbona tunazidi kuwa vichaa, wendawazimu na matahira kupitia hizi imani zao ?
Kiliwa shinda nini kutulazimisha kusoma na kutupa elimu ? Kwa nini hizo nguvu za kueneza dini zao wasingetumia kutulazimisha elimu wenda leo hii tusingekuwa wapumbavu hivi.
Chunguza ukweli haliisi na sio chuki.Una'assume sijakua.
Nakujuza, nimeshakua.