Nitafanya biashara gani

Nitafanya biashara gani

PiusShirima

Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
12
Reaction score
1
Nina million 5 za kitanzania, Naomba mnishauri nifanye biashara gani ambayo itanikifisha mbali kwa mtaji huo.
 
Ningependa unifafanulie zaid yani nyanya za million 5 wanunue mama ntilie si ntachukua muda mrefu na hao mama ntilie si wanatakiwa wawe weng sana labda dsm nzima
 
Unaweza fanya biashara ya Website design na hosting as well, Tutakupa server na ordering system yake.
 
Kwanza wewe unapenda nn?
Pili biashara ya nyanya kwa sasa utalia kilio cha mbwa mdomo juu

Waza kwanza wewe mwenyewe kulingana na jamii yako ilivyo
Kuna biashara ya kulenga Magari ya wale wanaouza kwa ajili ya shida then unauza kwa bei ya juu
Ingine kopesha pesa za riba huku ukichukua dhamana zao
 
Back
Top Bottom