Nitafanya kazi gani baada ya kumaliza kusoma?

Content zinazolipa watu nyingi ni za kijinga kijinga na kipuuzi. Mfano udaku, ukosoaji hapa hasa kwenye mpira simba na yanga.

Kuna content huwa zinapaa sana. Mfano ke kuwakosoa ke wenzake n.k

Hii kweli, hapa ni kujitoa ufahamu sasa😊
 
Content zinazolipa watu nyingi ni za kijinga kijinga na kipuuzi. Mfano udaku, ukosoaji hapa hasa kwenye mpira simba na yanga.

Kuna content huwa zinapaa sana. Mfano ke kuwakosoa ke wenzake n.k
Half american! Hivi hawa content creators hela huwa wanapataje? Wanalipwa na Instagram/Facebook au?
 
Kuna waganga wanakutengenezea dawa unatusua chap kwa haraka achana na mawazo ya mshahara.
 
Inapaswa uondoe dhana kwanza ya kwamba umesoma ili uajiriwe, ajira siku zote mshahara wake haujawahi kutosha kamwe duniani, na watu hawawi matajiri kwa kutegemea mshahara,

Ukifanikiwa kupata kazi, upatapo pesa yako uwe na mgawanyo wa fedha zako kabla ya matumizi, fedha ya sehemu ya Mungu, Fedha ya akiba(kujilipa mwenyewe), dharura nk,

Fedha ya akiba ni siri ya mafanikio kukuza mtaji na kuwafanya uwekezaji ili kupanua wigo wa kipato,

Achana na mishahara kwanza onyesha ulijojifunza kwanza na pia uwe na vitu vya ziada katika kujijua wewe ni nani, mbali na taaluma, ili vipaji vyako uongezee kufanya vitu vya ziada vya kukukuzia kipato.

Mshahara haujawahi kutosha popite duniani.
 
Usiangalie makunyanzi, fanya kazi yoyote ili mradi uhesabu kwa siku unaingiza ngapi. Mf. Chips
 
Half american! Hivi hawa content creators hela huwa wanapataje? Wanalipwa na Instagram/Facebook au?
Wanalipwa kwa namna hiyo kupitia no of viewers pia kuna baadhi ya watu wanawalipa kufanya interviews hasa simba na yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…