Mr Journalist
Member
- Aug 16, 2025
- 44
- 79
- Thread starter
- #41
Inapaswa uondoe dhana kwanza ya kwamba umesoma ili uajiriwe, ajira siku zote mshahara wake haujawahi kutosha kamwe duniani, na watu hawawi matajiri kwa kutegemea mshahara,
Ukifanikiwa kupata kazi, upatapo pesa yako uwe na mgawanyo wa fedha zako kabla ya matumizi, fedha ya sehemu ya Mungu, Fedha ya akiba(kujilipa mwenyewe), dharura nk,
Fedha ya akiba ni siri ya mafanikio kukuza mtaji na kuwafanya uwekezaji ili kupanua wigo wa kipato,
Achana na mishahara kwanza onyesha ulijojifunza kwanza na pia uwe na vitu vya ziada katika kujijua wewe ni nani, mbali na taaluma, ili vipaji vyako uongezee kufanya vitu vya ziada vya kukukuzia kipato.
Mshahara haujawahi kutosha popite duniani.
Asante sana, nitazingatia hii