Nitafanya nini na 20m

Kirumi

Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
6
Reaction score
2
Heshima kwenu GTs,

nahitaji mchango wa mawazo yenu hasa kwa wazoefu wa biashara na ujasiliamali.

ninayo tsh 20,000,000. sitaki kuajiliwa kwa sababu nimeshaajiliwa for 5 years toka nlipomaliza chuo in 2008, sasa

nimeona ni wakati muafaka wa kufanya mambo yangu mwenyewe kwa huu mtaji ambao nimeulimbikiza kwa muda

niliofanya kazi.

nakaribisha mchango wenu wa mawazo.

the boss upo, nakukubali sana kaka kwenye hizi anga, please assist.


Kirumi, kimara.
 

tengeneza charcoal briquettes uza rejareja na jumla. Mashine ni tshs 10m
 
Kwanza ungeeleeza wakati umeamua kulimbikiza hela hizo ulikuwa na mawazo ya kuzifanyia nini, na kitu gani kimekufanya usitekeleze hilo, nadhani itakuwa sehemu nzuri ya kuanza kukusahuri
 
Kuna post ipo humu ndani ina michango mizur sana.Nazani title yake nina milion 10 nifanyaje.Kuna michango zaidi ya 1000
 
Salaty ya mwezi mmoja inaweza kuanzisha kilimo cha vitunguu? Aisee hebu nipe idea manake nadhani nawaza makubwa mno ndo maana nakwama
nimeajiriwa last month, today nimequit. kuajiriwa kugumu asikwambie mtu. nimechukua salary yangu naenda kulima vitunguu moshi.
 
tafuta location nzuri Dar, fuata mikoani Kuku wa kienyeji ..... tengeneza butcher nzuri ...... chinja na uwapack vizuri na kuuza pamoja na mayai
 
The Boss jamaa anakuhitaji huku umshauri.....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nichek nikupe link ya copper tufanye biashara haitakutupa,0652715232,info@equpointproperty.co.tz
 
mkuu naomba unielemishe hapo kwa red, ni nini hicho?

charcoal briquettes ni mkaa unaotengenezwa kwa kutumia vitu kama pumba ya mchele, vumbi la mbao, karatasi na mabox yaliyotumika, majani, coconut husks etc. Kitu muhimu hapa ni mashine ya kutengeneza huo mkaa na mifuko ya kupaki huo mkaa. Mashine zinapatikana india na china. lakini sido wanaweza kuitengeneza.
 
Salaty ya mwezi mmoja inaweza kuanzisha kilimo cha vitunguu? Aisee hebu nipe idea manake nadhani nawaza makubwa mno ndo maana nakwama

Inawezekana kabisa, mshahara wa mwezi mmoja ukawa mtaji wa maisha ya mtu kutegemea mazingira aliyo nayo. Yawezekana shamba la familia lipo, yy ni last born kwao hana wa kumsumbua, vitendea kazi vipo tayari, yaani familia yao ni mboga nane, kwa nini asianze?
 

Wengine tulisoma hii mada hapa chini

Mtaji: 10 Million TZS...

..all the best...........hii mada imenilipa na inaendelea kunilipa, ...kwa kifupi imenitoa!!........nawashukuru wote waliochangia mawazo........
 
kila kitu ni nia, sio kujaza pesa kwenye account
 
kuna mtu anataka kuja dar es salaam kufanya biashara yeye kutoka eygpt na anaomba ushauri wenu yaya anaye 100,000& yeye anataka Import and export ila hajui kuanza na nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…