Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza naombeni mwenye ufahamu ni njia gani zinazotakiwa kufuatwa ili manispaa waweze kunipa tenda ya kukusanya ushuru wa mojawapo ya maliwato zake,mfano ile stendi mpya inayojengwa pale mawasiliano.hii biashara inalipa sana sema kuipata ndio shida.
Kuna ukuritimba sana katika tenda zao so mwenye mbinu tafadhali aitoe isipokuwa mbinu ya kuhonga maana hiyo siiwezi na hata ningekuwa na hela ya kuhonga ni bora ningefanya kazi nyingine mbadala.
Asanteni.
ww mwnyw umisha sema kuna ukirikimba,kuhonga ndo hvyo usha sema huwezi sasa ukifata procedures wnye hongo watakushinda,sa unadhan u2mie njia gn? Bdo ukiwa ke ujipendekeze au Me uvae sketi bdo itakuwa ni hongo na labda uwe mkurugenzi au gombea urais wa JMT uchukue kwa urahisi