Nitafanyaje ili niweze kupata tenda ya kukusanya ushuru wa maliwato za stendi dsm


ww mwnyw umisha sema kuna ukirikimba,kuhonga ndo hvyo usha sema huwezi sasa ukifata procedures wnye hongo watakushinda,sa unadhan u2mie njia gn? Bdo ukiwa ke ujipendekeze au Me uvae sketi bdo itakuwa ni hongo na labda uwe mkurugenzi au gombea urais wa JMT uchukue kwa urahisi
 

ww mwnyw umisha sema kuna ukirikimba,kuhonga ndo hvyo usha sema huwezi sasa ukifata procedures wnye hongo watakushinda,sa unadhan u2mie njia gn? Bdo ukiwa ke ujipendekeze au Me uvae sketi bdo itakuwa ni hongo na labda uwe mkurugenzi au gombea urais wa JMT uchukue kwa urahisi/kawaroge washndani wko/sali hadi utoke jasho la ulimi mungu asikie maombi yco
 
Mkuu Ukiona mtu anaongea hivyo ujue mazingira yashatokea mara nyingi.Na wakati mwingine unakuta hela unayotakiwa kuhonga ni kubwa kuliko unayotarajia kuipata.

Hiyo ni shauri yako, kama unaona haitakulipa achana nayo hakuna wa kukulazimisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…