Nitafsirie kikwenu mnasemaje hivi?

Nitafsirie kikwenu mnasemaje hivi?

Ngoja nimamuulize babu nimefikilia mpaka kichwa kinaniuma haiji ..
 
Naomba mnitafsirie sentensi hii kwa kikabila chenu: Jaribu kuwa as faithful to the words here as possible (yaani kile kilugha chenyewe hasa). Unaweza ukatafsiri neno kwa neno: Halafu niandikie ni kilugha gani.

Tunatangaza uadui, kati yetu na kati yao!
Umeomba, kukubali au kukataa ni haki yangu kama ilivyokuwa haki yako ya kuomba, na sasa naitumia haki yangu
NIMEKATAAAA.
 
memungkinkan menyatakan perang antara kami dan mereka (Bahasa Indonesia/Ki-Indonesia)
 
Kuna watu wengine wanadokeza kwanini huwa tunafeli mitihani!! swali ni very "simpo".. tafsiri sentensi hii kwa kilugha chenu..

Tunatangaza uadui kati yetu na wao/ kati yetu na kati yao!

Watu wameanza "ooh Tata gwa kumwanya uli na maka na lori"!
 
Back
Top Bottom