MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Tayari nimeshafanya maamuzi. Lazima nifanye maombi maalum kwa wenzetu waliooa wanawake kutoka kwenye makundi yafuatayo;
1. Wanawake ambao ni makada kindakindaki wa vyama vya siasa hasa CCM na CHADEMA. Ambao hawapitwi na matukio ya chama ya ndani na nje ya mkoa wake.
2. Wanawake wote wenye ukaribu sana na viongozi wa kiroho kwa maana ya wachungaji, mitume na manabii. Yaani wale wanaosema fulani ni baba yangu wa kiroho.
3. Wasanii yaani waimba muziki na filamu.
4. Waimbaji wa nyimbo za injili.
5. Wafanyabiashara ambao hulazimika kuwa na safari za mara kwa mara.