MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Fafanua kwa niniTayari nimeshafanya maamuzi. Lazima nifanye maombi maalum kwa wenzetu waliooa wanawake kutoka kwenye makundi yafuatayo;
1. Wanawake ambao ni makada kindakindaki wa vyama vya siasa hasa CCM na CHADEMA. Ambao hawapitwi na matukio lazimika kuwa na safari za mara kwa mara.
Single mothersTayari nimeshafanya maamuzi. Lazima nifanye maombi maalum kwa wenzetu waliooa wanawake kutoka kwenye makundi yafuatayo;
1. Wanawake ambao ni makada kindakindaki wa vyama vya siasa hasa CCM na CHADEMA. Ambao hawapitwi na matukio ya chama ya ndani na nje ya mkoa wake.
2. Wanawake wote wenye ukaribu sana na viongozi wa kiroho kwa maana ya wachungaji, mitume na manabii. Yaani wale wanaosema fulani ni baba yangu wa kiroho.
3. Wasanii. Yaani waimba muziki na filamu.
4. Waimbaji wa nyimbo za injili.
5. Wafanyabiashara ambao hulazimika kuwa na safari za mara kwa mara.
Maana yake hao kwenye list wanachezea sana bakoraUmewaachaje mashabiki kindaki ndaki wa simba na yanga
Obviously iko hivyoMaana yake hao kwenye list wanachezea sana bakora
404: Page Not Found
Hata mjomba nae ni mamaWewe ni mwanaume mbona unajiita Mamasamia??
Ungeandika single mothers ungekionaSkngle mothers
Mjomba ni Mama Ila Mama sio mjomba au sioHata mjomba nae ni mama
Angekiona ki nini ?Ungeandika single mothers ungekiona
Labda kisim... AAngekiona ki nini ?
404: Page Not Found
[emoji3] hao ni diehard ultra fans hamna kingine .kama yule dada mweupe mnene mvaa vipensi wa simba acha mawazo hayoKuna wale wanawake wanaotembea na timu hasa za Simba na yanga popote ziendapo,wanaliwa mnooo,wanaume zao waombee maombi ya mfungo
Uvisisiemu huyo tangu lini wakawa na akiliWewe ni mwanaume mbona unajiita Mamasamia??
Vitisho havipendezi kwa mrembo .msamehe tuUngeandika single mothers ungekiona
Cha mtema kuniAngekiona ki nini ?
404: Page Not Found