Nitafunga na kuwaombea wenzetu waliooa wanawake wafuatao

Hili kundi namba tano ni hatari,mwanamke wa mtu anaongozana na mwanaume mwingine wa duka jirani eti wanafata mzigo Korea kwa pamoja,au Kampala,au Nairobi....sijui Dubai

Dunia ya uaminifu kwa sasa ni ziro
 
Hili kundi namba tano ni hatari,mwanamke wa mtu anaongozana na mwanaume mwingine wa duka jirani eti wanafata mzigo Korea kwa pamoja,au Kampala,au Nairobi....sijui Dunai

Dunia ya uaminifu kwa sasa ni ziro
Juzi hapa kuna ndugu yangu wa kike kasafiri na kijana wake wa dukani kwenda mkoani kufanya marketing ya biashara yake. Ni mara kadhaa kafanya hivyo. Mume wa huyu ndugu tumweke kwenye maombi.
 
 

Attachments

  • AFF0AF05-2D48-4FE6-B701-5AF23473C695.jpeg
    94.3 KB · Views: 3
Usiwasahau na waliooa feminists uchwara a.k.a masupa wimeni. Cha moto wanakiona wallahi!
🤣 HAKUNA CHA SUPA WIMENI, WALA MALKIA WA NGUVU.
ZOTE ZILE NJAA ZA UMAARUFU NA PESA.

SIFA YA KWANZA YA SUPA WIMENI UWE UMISHINDWA KWENYE NDOA AU MAHUSIANO.!
SIFA YA PILI LAZIMA UWE UNALALWA NA WAUME ZA WENZIO KWA SBB WEWE UMESHINDWA KUTUNZA WAKO!
SASA HII SI TAKATAKA HII
 
Kuna wale wanawake wanaotembea na timu hasa za Simba na yanga popote ziendapo,wanaliwa mnooo,wanaume zao waombee maombi ya mfungo
Refer tukio la Mama J.

Kwa wanaokumbuka huyu alionekana akifurahia match ya Wanayanga pale B.W Stadium masaa mawili mbele aka-post short clip video anamung'unya kipande cha nyama ngumu cha shabiki mwenzake ambaye pale uwanjani alikuwa amekaa mbele yake means walifahamiana pale pale uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…