Nitafunga na kuwaombea wenzetu waliooa wanawake wafuatao

Umewaachaje mashabiki kindaki ndaki wa simba na yanga

Mashabiki wa mpira na vyama lugha yao moja
Kwama mdem wapenda mpila kwakweli wana pigwa konga sana nilisha wai kuwa nao asee sehem zao za siri zimesha panuka kama magor ila kunaware mashabiki wastarabu yani wapo kama awapo kwenye mambo ya mpira hao wako vixuy
 
Kwama mdem wapenda mpila kwakweli wana pigwa konga sana nilisha wai kuwa nao asee sehem zao za siri zimesha panuka kama magor ila kunaware mashabiki wastarabu yani wapo kama awapo kwenye mambo ya mpira hao wako vixuy
Kuna mmoja mitandaoni anajiita Paula Soka ni shabiki wa Simba.. kwa kweli yule sio wa kumwacha ukipata nafasi. Huwa anapost anasafiri na Simba
 
Umewasahau wanawake vyaboli wale wapenda soka uwanjani awakosi
 
Juzi hapa kuna ndugu yangu wa kike kasafiri na kijana wake wa dukani kwenda mkoani kufanya marketing ya biashara yake. Ni mara kadhaa kafanya hivyo. Mume wa huyu ndugu tumweke kwenye maombi.
We acha tu ndugu yangu
 
Obviously hata sisi ambao hatupo kwenye mahusiano ni maombi pia maana mwenzako akinyolewa ....
 
Usisahau kuwaombea na wale waliooa Wanawake wanaojiita Wanaharakati wa haki sawa,Wanawake ambao ni madereva wa magari makubwa ya masafa.
 
Kwa ufupi wote tulio owa tunahitaji maombi, tunahitaji kutiwa moyo, tunahitaji kuonewa huruma. Hakika hali sio hali aisee!
Kwani hao wanawake wanaliwa na wanawake wenzao? Si ni nyie haohao muendako huko waliko. Leteni mipango ya pesa humu acheni kuleta upuuzi mnaoufanya kisha mwanawia nyuma ka inzi wa tandale sokoni.
Mwanamke anapoliwa si ndio sawa kwake sasa mnataka waisho na shidashidaa? Acheni wale maisha, siku zenyewe zimehesabika.
Ulieoawa ulimuanza wewe? Alikuanza yeye? Nyote mlikutana mshaharibika, mtaundwa upya ukubwani? Leteni story za uwekezaji mdogomdogo ili labda basda ya miaka 350, familia zetu labda zitamfikia DP world.
 
1. Wanawake ambao ni makada kindakindaki wa vyama vya siasa hasa CCM na CHADEMA. Ambao hawapitwi na matukio ya chama ya ndani na nje ya mkoa wake.
Hawa ni CHAWOTE..
Wanatumika mnooo.
Mwanamke wa kundi hili hafai kuwa mke wa mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…