Nitafungua kesi mahakamani kusimamisha shughuli za chama cha mapinduzi (CCM) kwa kukiuka katiba yake

Mkuu, nilikushauri uache kunywa mataputapu, maana unalewa mpaka machicha yananasa kwenye mustachi
 
Acha bangi mbichi basi yaani kesi ya nyani ukampelekee ngedere kweli
 
Umechoka kuishi, ila hatutalijua wala kuliona kaburi lako.
 
Kwa mujibu wa Polepole zilizovunjwa ni Mila na desturi za CCM sio KANUNI. Hiyo kesi labda ungeanzia Makumbusho au wizara ya utamaduni 😂😂
 
Sawa Polepole tumekusikia
 
Itakua vyema saaana ila unaweza tekwa tu hapo hapo mahakamani
 
Utapoteza muda wako maana nchi hii hakuna mahakama Kuna maonyesho ya mahakama, wote ni chawa wa CCM, ni toothless mbele ya serikali, sasa hapo huoni mahakama inatumika kwa maslahi ya ccm
 
Mh rais amesema mahakama zitende haki.. Dira 2025
 
Wewe ni nani ???
Upo kwenye bodi ya wadhamini wa chama ili uweze kukidhi vigezo mkuu ??

Au unadhani kuwa Mdhamini wa Chama cha CHAWAMATA (CHAMA CHA WANAUME MABAHIRI) ndio unaeza hata kushitak hata chama cha mapinduzi.???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…