chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Samaki haogopi majiUnaogopa mahakamani chief
Samaki haogopi majiUnaogopa mahakamani chief
nitachangia gharama za ksi tuone majaji wataamuajeNipo kwenye mchakato wa kupata mwanasheria ili kutisha shughuri za chama kwa kukiuka baadhi ya ibara za katiba ya chama hasa kumpata mgombea uraisi 2025.
Nimtake Jaji Mtungi atoe onyo kali ya kutaka kusitisha usajili wa chama haraka iwezekanavyo.
Mjumbe
Usijisumbue kwa lolote ndugu curie...Nipo kwenye mchakato wa kupata mwanasheria ili kutisha shughuri za chama kwa kukiuka baadhi ya ibara za katiba ya chama hasa kumpata mgombea uraisi 2025.
Nimtake Jaji Mtungi atoe onyo kali ya kutaka kusitisha usajili wa chama haraka iwezekanavyo.
Mjumbe
Wewe jamaa mtata sana aisee..Fungua uishi kama ile digidigi iliyoniita Ponjoro wa Kinondoni.
Tena sana, muulize Tundu Lissu.Wewe jamaa mtata sana aisee..
Daah..Tena sana, muulize Tundu Lissu.
Hahaha