Nitafungua kesi mahakamani kusimamisha shughuli za chama cha mapinduzi (CCM) kwa kukiuka katiba yake

Tunapata tafsiri ya kimahakama
 
nitachangia gharama za ksi tuone majaji wataamuaje
 
Usijisumbue kwa lolote ndugu curie...

Hiyo imeshaisha....

Hawatafika popote maana hukumu ya invisible court of law imeshaandikwa....

Red light iko kodo mbele yao...

Acha washupaze shingo zao kwa kutofanya maamuzi sahihi na ndipo watajua kuwa kumbe walikuwa hawajui kuwa hawajui...

Mungu muumba hayuko pamoja nao kwenye ubatili wao...

They will get what they wish for...
 
Ndiyo utawajua Wahuni ambao Polepole anawazungumzia.
 
Kama ni mwanaCCM unatakiwa uwasilishe malalamiko yako kwa msajili wa vyama. Tuone kama atakuwa na ubavu wa kutomtabua mgombea wa CCM, sawa na alivyoshinda kuutambua uongozi wa CHADEMA walioteuliwa na Mwenyekiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…