Nitafurahi na kushukuru sana endapo Simba itahamishia mechi zake uwanjani wa amani

Nitafurahi na kushukuru sana endapo Simba itahamishia mechi zake uwanjani wa amani

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kwanza uwanja wa amani una vigezo vyote vya kuchezea mechi za kimataifa na kitaifa, pia Zanzibar ni sehemu ya United Republic of Tanzania.

Tatu huko nyumba Simba ilipokuwa ikiweka kambi Zanzibar hakuna alieweza kupata sare, watu wetu wa Zanzibar wanajua sana yale mambo yetu ndio maana jamaa zetu wanatuwin kwa sababu makamu wao anasaidiwa sana na wale wazee wetu.

Ndio maana yeye na Mwenyekiti wake ni damu damu, sisi Zenji tuna mashabiki wengi vile, hivyo kwa sababu hizo ninauomba uongozi wa Simba ambao siupendi na ninauchukia sana ingawa sina jinsi, wahamishie mechi zetu kule zenji ili heshima irudi.

Huku Bongo kumeshanuka sana, wachezaji ambao tulikuwa na imani nao wamefungwa miguu na hawawezi kuleta maajabu tena msimbazi.
 
Mkulima achagui jembe .kama una jua una jua tu.kamq hujui ni hujui tu
 
Azam ndio uwanja mtachezea usiku na mchana na hakuna mahali mtaenda
Benchika atafukuzwa ndani ya mda mfupi
 
mtahamia mpk GAZA msimu Yanga washaumaliza huu...
 
Back
Top Bottom