Nitafurahishwa sana na wachambuzi wa mpira wa miguu endapo watajikita kuchanganua kero ya Getini na Mamlaka ya Suma JKT kupiga mashabiki

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Shabiki ni mchezaji wa kumi na mbili (12) Kama kanuni za mpira zinavyosema, kwa hiyo basi ni matumaini yangu wachambuzi mliozoea kumuimba mayele na baleke itakua vyema sana Kama wachambuzi mtapaza sauti kuhusu kelo anazopata huyu mchezaji wa kumi (12).

Suma jkt wanapata wapi mamlaka ya kupiga mashabiki Kama mbuzi?? Enyi wachambuzi tunahitaji mpigie kelele hili lipatiwe ufumbuzi ili watu (mashabiki) wasiumizwe.

Nawasilisha hoja.
 
Siyo kazi ya wachambuzi hiyo
 
Haya majeshi yetu yanashida
Wamekariri Kila kitu nguvu
Mashabiki wamefika pale sababu ya hisia na hawapati chochote
Wamelipa au wamelipiwa kiingilio
Sio haki kumpiga shabiki kama gaidi
Mashabiki wasipokuja viwanjani mnaanza kulalamika wakija ndo kuwapiga na kuwadhalilisha
Video na picha zipo hao Suma jkt waliokosa weledi serikali iwachukulie hatua
 
Kweli kabisa mkuu upo sahihi.
 
Back
Top Bottom