NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Shabiki ni mchezaji wa kumi na mbili (12) Kama kanuni za mpira zinavyosema, kwa hiyo basi ni matumaini yangu wachambuzi mliozoea kumuimba mayele na baleke itakua vyema sana Kama wachambuzi mtapaza sauti kuhusu kelo anazopata huyu mchezaji wa kumi (12).
Suma jkt wanapata wapi mamlaka ya kupiga mashabiki Kama mbuzi?? Enyi wachambuzi tunahitaji mpigie kelele hili lipatiwe ufumbuzi ili watu (mashabiki) wasiumizwe.
Nawasilisha hoja.
Suma jkt wanapata wapi mamlaka ya kupiga mashabiki Kama mbuzi?? Enyi wachambuzi tunahitaji mpigie kelele hili lipatiwe ufumbuzi ili watu (mashabiki) wasiumizwe.
Nawasilisha hoja.