NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Jikite kwenye hoja mkuu.Unafikiri utadeal vipi na watu wasiyo na akili mkuu lazima utumie nguvu uliza wale wawili wenye akili huko kama walipigwa
Ha ha ha naona hamtaki mdiskasiwe kipigo chenu wadiskasi matukio nje ya uwanja hayo hayana umuhimuJikite kwenye hoja mkuu.
Siyo kazi ya wachambuzi hiyoShabiki ni mchezaji wa kumi na mbili (12) Kama kanuni za mpira zinavyosema, kwa hiyo basi ni matumaini yangu wachambuzi mliozoea kumuimba mayele na baleke itakua vyema sana Kama wachambuzi mtapaza sauti kuhusu kelo anazopata huyu mchezaji wa kumi (12).
Suma jkt wanapata wapi mamlaka ya kupiga mashabiki Kama mbuzi?? Enyi wachambuzi tunahitaji mpigie kelele hili lipatiwe ufumbuzi ili watu (mashabiki) wasiumizwe.
Nawasilisha hoja.
Nabi kakosea Nini Sasa na wewe umetazama mpira au ulikua umelala.Jkt wametupiga sana.
Mvua imetupiga sana.
MATOKEO ya mchezo yametupiga sana.
Makosa ya NABI yametuumiza sana
Wachambuzi kazi yao NI IPI mbumbumbu wewe.Siyo kazi ya wachambuzi hiyo
WameanzaNabi kakosea Nini Sasa na wewe umetazama mpira au ulikua umelala.
Waarabu nao wametubagaza....Jkt wametupiga sana.
Mvua imetupiga sana.
MATOKEO ya mchezo yametupiga sana.
Makosa ya NABI yametuumiza sana
Watakuwa makurutaWachambuzi WA mpira wajadili jkt?
Hao sio wachambuzi WA mpira
Kwa hiyo kelo za mashabiki pale uwanjani Nan anawazungumzia.???Wachambuzi WA mpira wajadili jkt?
Hao sio wachambuzi WA mpira
Tulia Kama unayolewaNyuzi nyingi mnoo...
Uko na speed mno ya kuandika...kongoleTulia Kama unayolewa
Kweli kabisa mkuu upo sahihi.Haya majeshi yetu yanashida
Wamekariri Kila kitu nguvu
Mashabiki wamefika pale sababu ya hisia na hawapati chochote
Wamelipa au wamelipiwa kiingilio
Sio haki kumpiga shabiki kama gaidi
Mashabiki wasipokuja viwanjani mnaanza kulalamika wakija ndo kuwapiga na kuwadhalilisha
Video na picha zipo hao Suma jkt waliokosa weledi serikali iwachukulie hatua