Nitagombea Ubunge wa Afrika Mashariki

Nitagombea Ubunge wa Afrika Mashariki

Mondoros

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
629
Reaction score
474
Muda utakaofika nitachukua fomu ya kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki kupitia CCM.

Naombeni maoni yenu watanzania wenzangu!

Karibuni na ahsanteni.
 
Taja jina halisi kwanza ndio nikuunge mkono
 
Dogo wewe ni kimbelembele kweli, hongera ingawa uliukosa ubunge jimboni.

Jaribu tu hakuna anayekupinga, ila ninavyokuona hauna tofauti na Bashite.
 
Dogo wewe ni kimbelembele kweli, hongera ingawa uliukosa ubunge jimboni.

Jaribu tu hakuna anayekupinga, ila ninavyokuona hauna tofauti na Bashite.
SIJAWAHI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LOOTE. NINA ELIMU SAFI WALA SIO YA KUUNGA
 
tupiaga curriculum vitae yako hapa ili tukushauri unono
 
Back
Top Bottom