Nitahamia Zambia na Sio Burundi

Nitahamia Zambia na Sio Burundi

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Angekua na "uelewa" japo Mdogo angeshauri tuhamie Zambia na sio Burundi. Zambia Raisi ni Mtumishi wa Wananchi, ni mnyenyekevu, amezuia matumizi ya magari ya kifahari kwa Mawaziri (Wakati yeye ana latest Toyota v8), Rais wa Zambia amegoma Katu kupongezwa na kuwakumbusha Watu wake kuwa anayoyafanya ni Wajibu wake na sio fadhila kama Mwigulu na Wenzie akina Nape wanavyotuaminisha.

Leo hii nchi nzima imejaa mabango ya kumsifia na kumpongeza Mtu mmoja, as if halipwi, as if ni msamaria mwema tu, tumejengwa kuaminishwa hivyo na wapuuzi Wachache wanaamini hivyo.

Mimi nitaenda Zambia ambako Pesa ya nchi Yao inazidi kuwa stable dhidi ya US Dollar, nchi ambayo Kuna kuaminiana na Rais hahitaji ulinzi wa mabilioni kujilinda......
 
Attachments

  • IMG-20220820-WA0018.jpg
    IMG-20220820-WA0018.jpg
    38.6 KB · Views: 13
  • IMG-20220819-WA0069.jpg
    IMG-20220819-WA0069.jpg
    38.1 KB · Views: 13
  • IMG-20220819-WA0067.jpg
    IMG-20220819-WA0067.jpg
    61.2 KB · Views: 13
Angekua na "uelewa" japo Mdogo angeshauri tuhamie Zambia na sio Burundi. Zambia Raisi ni Mtumishi wa Wananchi, ni mnyenyekevu, amezuia matumizi ya magari ya kifahari kwa Mawaziri (Wakati yeye ana latest Toyota v8), Rais wa Zambia amegoma Katu kupongezwa na kuwakumbusha Watu wake kuwa anayoyafanya ni Wajibu wake na sio fadhila kama Mwigulu na Wenzie akina Nape wanavyotuaminisha.

Leo hii nchi nzima imejaa mabango ya kumsifia na kumpongeza Mtu mmoja, as if halipwi, as if ni msamaria mwema tu, tumejengwa kuaminishwa hivyo na wapuuzi Wachache wanaamini hivyo.

Mimi nitaenda Zambia ambako Pesa ya nchi Yao inazidi kuwa stable dhidi ya US Dollar, nchi ambayo Kuna kuaminiana na Rais hahitaji ulinzi wa mabilioni kujilinda......
Wakikushauri uende Zambia watakupa point za kuwakosoa,wanapenda kutuahauri tuende south Sudan na Burundi tuu🤔🚶
 
Angekua na "uelewa" japo Mdogo angeshauri tuhamie Zambia na sio Burundi. Zambia Raisi ni Mtumishi wa Wananchi, ni mnyenyekevu, amezuia matumizi ya magari ya kifahari kwa Mawaziri (Wakati yeye ana latest Toyota v8), Rais wa Zambia amegoma Katu kupongezwa na kuwakumbusha Watu wake kuwa anayoyafanya ni Wajibu wake na sio fadhila kama Mwigulu na Wenzie akina Nape wanavyotuaminisha.

Leo hii nchi nzima imejaa mabango ya kumsifia na kumpongeza Mtu mmoja, as if halipwi, as if ni msamaria mwema tu, tumejengwa kuaminishwa hivyo na wapuuzi Wachache wanaamini hivyo.

Mimi nitaenda Zambia ambako Pesa ya nchi Yao inazidi kuwa stable dhidi ya US Dollar, nchi ambayo Kuna kuaminiana na Rais hahitaji ulinzi wa mabilioni kujilinda......
Kama mafuta tuu na bando hapa Tanzania unalialia huko Zambia utaweza kweli kununua mafuta Lita elfu 3800 na bando Bei kubwa?.

Wajamaa Kazi Yao huwa ni kuwatia moyo maskini na mwisho mnabakia hivyo hivyo.
 
Tanzania watu hufuata upepo unakoelekea. Na hii imeathiri hadi baadhi ya wasomi wa nchi hii.
Wanaona hawawezi kufanikiwa pasipo kusifiasifia wanasiasa.

Kwa sasa marais wanaonipa matumaini katika africa mashariki ni rais wa zambia HH, na rais mteule hustler Ruto. Maneno yao yanarudisha matumaini yaliyopotea baada ya kifo cha JPM. Kufanya kwa ajili ya wananchi wa kawaida na si wenye nacho.

Huku kila siku wananchi wa hali za chini ndio wanabebeshwa mzigo wa tozo +mfumuko wa bei kwa kisingizio cha vita. Wakati wao viongozi hawaoneshi kuunga mkono kwa kubana matumizi! Ziara zisizo na ulazima. #Twenzetuzambia
 
Bongo tuna utamaduni wa kusifia sifia tu unakuta Mtu ana mshukuru Rais wa awamu ya ....... kwa mafanikio yake yeye binafsi yaani sijui ni ugonjwa au kuojiamini.

Basi na mimi nimshukuru mama kwa kukomenti hapa ameupiga mwingi
Ndio inatugharimu
 
Kama mafuta tuu na bando hapa Tanzania unalialia huko Zambia utaweza kweli kununua mafuta Lita elfu 3800 na bando Bei kubwa?.

Wajamaa Kazi Yao huwa ni kuwatia moyo maskini na mwisho mnabakia hivyo hivyo.
Unasema 3800 wakati wenzenu mikoani mpaka 4000/ Tatizo lenu mnapima maisha ya dar mkifikiri ni yaTanzania nzima. Huyo Hichilema,kama hizi raslimali tulizonazo zingekuwa kwake Zambia ingekuwa mbali Sana. Sera yake ya kubana matumizi ya serikali,kama huku tungeitumia, tusingeumiza watu kwa matozo ya hovyohovyo. Kwa nini lazima kiongozi atumie v8? Hakuna gari nzuri ndogo yenye kutumia mafuta kidogo. Na kumbuka Zambia siyo Tanzania wao kumng'oa na kuweka mwingine siyo issue iko mikononi mwao na Hichilema anajua.
 
Dah...
Mi sijui ila kinacho umiza ni katiba.
Maana najua katiba imeelekeza mpaka aina ya Magari kwa kila Level ya viongozi.

Kikubwa kuwe na kipindi cha kuelimisha wananchi na kuruhusu katiba iwe inasomwa na kujadiliwa kwa kila Radio na hata wasanii waimbe juu ya katiba kama somo.
 
Unasema 3800 wakati wenzenu mikoani mpaka 4000/ Tatizo lenu mnapima maisha ya dar mkifikiri ni yaTanzania nzima. Huyo Hichilema,kama hizi raslimali tulizonazo zingekuwa kwake Zambia ingekuwa mbali Sana. Sera yake ya kubana matumizi ya serikali,kama huku tungeitumia, tusingeumiza watu kwa matozo ya hovyohovyo. Kwa nini lazima kiongozi atumie v8? Hakuna gari nzuri ndogo yenye kutumia mafuta kidogo. Na kumbuka Zambia siyo Tanzania wao kumng'oa na kuweka mwingine siyo issue iko mikononi mwao na Hichilema anajua.
Hakuna mkoani Bei inapofika elfu 4 kwenye kituo Cha mafuta..

Bei hizo ni huko Kijijini kusiko na vituo vya mafuta na ndio maana Serikali imetenga pesa za kukopesha watu wa Vijijini Ili waanzishe vituo vya mafuta potable.
 
Tanzania watu hufuata upepo unakoelekea. Na hii imeathiri hadi baadhi ya wasomi wa nchi hii.
Wanaona hawawezi kufanikiwa pasipo kusifiasifia wanasiasa.

Kwa sasa marais wanaonipa matumaini katika africa mashariki ni rais wa zambia HH, na rais mteule hustler Ruto. Maneno yao yanarudisha matumaini yaliyopotea baada ya kifo cha JPM. Kufanya kwa ajili ya wananchi wa kawaida na si wenye nacho.

Huku kila siku wananchi wa hali za chini ndio wanabebeshwa mzigo wa tozo +mfumuko wa bei kwa kisingizio cha vita. Wakati wao viongozi hawaoneshi kuunga mkono kwa kubana matumizi! Ziara zisizo na ulazima. #Twenzetuzambia
Acha kumfananisha Hichilema na yule dhalimu wenu.
 
Unasema 3800 wakati wenzenu mikoani mpaka 4000/ Tatizo lenu mnapima maisha ya dar mkifikiri ni yaTanzania nzima. Huyo Hichilema,kama hizi raslimali tulizonazo zingekuwa kwake Zambia ingekuwa mbali Sana. Sera yake ya kubana matumizi ya serikali,kama huku tungeitumia, tusingeumiza watu kwa matozo ya hovyohovyo. Kwa nini lazima kiongozi atumie v8? Hakuna gari nzuri ndogo yenye kutumia mafuta kidogo. Na kumbuka Zambia siyo Tanzania wao kumng'oa na kuweka mwingine siyo issue iko mikononi mwao na Hichilema anajua.
Umemjibu vyema sana
 
Back
Top Bottom