Nitahamia Zambia na Sio Burundi

Sipati picha huyo HH angefanya Collabo na JPM Afrika kungalieleweka tu.
 
Waziri kusema wasiopenda tozo wahamie Burundi anaweza kutengeneza mgogoro wa kidiplomasia na jirani zetu Burundi bila sababu ya msingi.

Kauli hii imemuonesha Waziri kama mtu varuvaru asiye na umakini kwenye kauli na matendo yake.
 
Waziri kusema wasiopenda tozo wahamie Buryndi anaweza kutengeneza mgogoro wa kidiplomasia na jirani zetu Burundi bila sababu ya msingi.

Kauli hii imemuonesha Waziri kama mtu varuvaru asiye na umakini kwenye kauli na matendo yake.
Nitashangaa kama Burundi wataendelea kukaa kimya
 
Nitashangaa kama Burundi wataendelea kukaa kimya
Naam, tena naona kasema mara ya kwanza, kaona haitoshi, karudia tena.

Yani jambo rahisi kama hili kwamba hutakiwi kuanzisha maneno ambayo yanaweza kuleta mizozo ya kidiplomasia isiyo ya lazima, Waziri wa Fedha mzima kashindwa kulijua, huko kwenye mambo ya umakini zaidi wa international economic espionage huyu bwege ataweza ku navigate?
 
Nenda Zimbabwe msalimie Balozi Sirro
 
He is very comfortable, enzi Watu wanaokotwa kwenye viroba Kuna jamaa NDIO alikua Waziri wa Wizara Fulani
 
Bongo tuna utamaduni wa kusifia sifia tu unakuta Mtu ana mshukuru Rais wa awamu ya ....... kwa mafanikio yake yeye binafsi yaani sijui ni ugonjwa au kuojiamini.

Basi na mimi nimshukuru mama kwa kukomenti hapa ameupiga mwingi
Hali hiyo Kwa taifa letu inaelekea hata viongozi kuona ni wakamilifu waliotukuka Ilhali wanaowasifia wanawaelekeza kwenye makosa ya kuwaweka mbali na Wananchi ama Kwa sababu zao za kisiasa au za makundi yao,ndio maana ipo haja ya katiba mpya inayowajibisha wenye mamlaka mbalimbali hata na wanaojaribu kupata maslahi yao kupitia wanaowasifia🤔
 
Mimi nahamia zanzibar [emoji1787][emoji1787]zanzibar kuchele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…