NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Alikuwa pale KWA kazi maalumu!!kama ilivyo Sasa!Na alikuwa hajali kabisa what was going on.
Si mapaka, haya ni manyang'au wa kutupwa yanayokula bila kunawa.Kiongozi wa watu vs Mapaka👇
The state imeamua KUTUMIA njia ndefu zaidi ku tu provoke raia ili tumkatae kiongozi na WAO wamweke wanaemtaka !!Kama state haioni umuhimu wa hii kitu basi inatusaliti sana watanzania
Sema jamaa siku hizi wamekua Wajanja Wajanja sanaMomi nahamia zanzibar [emoji1787][emoji1787]zanzibar kuchele
Hao jamaa KAMWE hawawezi kukubali labda tuwashurutishe"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Mungu ibariki ZambiaAngekua na "uelewa" japo Mdogo angeshauri tuhamie Zambia na sio Burundi. Zambia Raisi ni Mtumishi wa Wananchi, ni mnyenyekevu, amezuia matumizi ya magari ya kifahari kwa Mawaziri (Wakati yeye ana latest Toyota v8), Rais wa Zambia amegoma Katu kupongezwa na kuwakumbusha Watu wake kuwa anayoyafanya ni Wajibu wake na sio fadhila kama Mwigulu na Wenzie akina Nape wanavyotuaminisha.
Leo hii nchi nzima imejaa mabango ya kumsifia na kumpongeza Mtu mmoja, as if halipwi, as if ni msamaria mwema tu, tumejengwa kuaminishwa hivyo na wapuuzi Wachache wanaamini hivyo.
Mimi nitaenda Zambia ambako Pesa ya nchi Yao inazidi kuwa stable dhidi ya US Dollar, nchi ambayo Kuna kuaminiana na Rais hahitaji ulinzi wa mabilioni kujilinda......
Bora tukamuliwe kodi hadi akili zikae sawa.The state imeamua KUTUMIA njia ndefu zaidi ku tu provoke raia ili tumkatae kiongozi na WAO wamweke wanaemtaka !!
Tutaumia KWA muda Hadi December matokeo ya Tozo tutaanza kuyaona meno ya state!!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba Mpya"
AaaamenMungu ibariki Zambia
Zambia walipo zingua mpaka barabara ya border ya Tunduma inayo ingiza mapato vumbi tu.Watanzania wengi hawana exposure wala hawana utaratibu wa kujisomea taarifa mbalimbali kuweza kujua uhalisia wa mambo. Kutishia kuhama Tanzania ni kelele tu zisizo na kichwa wala miguu. Zambia ni nchi iliyolemewa na madeni kila upande kiasi kwamba Hichilema alikimbilia IMF & WB ili kuwakwepa wachina ambao walikuwa wanaenda kuifanya nchi koloni lao. Kwa mfanyabiashara makini hawezi kuiacha Tanzania yenye watu 60m akaenda Zambia kwenye watu 20m. Bongo ukiwa smart kidogo tu unapiga hela kwasababu ya uwingi wa watu. Si mnaona Kalynda ghafla tu wamesomba mpunga wa maana.
Wana hali ngumu sana kimiundo mbinu. Ile barabara kutoka Nakonde hadi Kapiri Mposhi ni mbovu hakuna mfano.Zambia walipo zingua mpaka barabara ya border ya Tunduma inayo ingiza mapato vumbi tu.
Ukienda zambia wanapenda sana kuja Tanzania yani.
Ww zambia ya wapi hiyo kule kuna unafuu mara kumi ya hapaKama mafuta tuu na bando hapa Tanzania unalialia huko Zambia utaweza kweli kununua mafuta Lita elfu 3800 na bando Bei kubwa?.
Wajamaa Kazi Yao huwa ni kuwatia moyo maskini na mwisho mnabakia hivyo hivyo.
Aisee daah upo busy ila unachokiongea unakijua mwenyewe...Hakuna mkoani Bei inapofika elfu 4 kwenye kituo Cha mafuta..
Bei hizo ni huko Kijijini kusiko na vituo vya mafuta na ndio maana Serikali imetenga pesa za kukopesha watu wa Vijijini Ili waanzishe vituo vya mafuta potable.
Umeeleza vizuri. Sema faini zao ukikutwa na kosa sio poa.Zambia maisha sio ghari kama Tanzania wao ukiwa na Tsh 5000 ukaibadili ukapata Kwatcha unanunua umeme unapata unit zisizopungua 98 na kipindi cha corona walikua wanatoa Bonus,Magari kodi zake ni favourable zinalipika hata mizigo pia kasoro Pombe tuu zipo juu ndio maana Mzambia anaweza kuendesha gari yeyote akiwa mfanyakazi ambayo Mtanzania hawezi labda aibe...Wazambia wana utaratibu wa kupenda kununua vitu vipya iwe Electronics mpaka nguo hiyo ni mpaka huko vijijini wakati Watz tupo sana kwenye mafriji ya mitumba na Tv...Bus za Zambia zinazoenda vijijini ni zile body za Iriza i Q 10 wakati Tanzania Wafanyabishara wa bus wapo kwenye chasis za maroli yawe bus...Trafik wa Zambia asumbui raia tofauti na Tanzania trafiki wana vita na watu wao kama paka na panya...Zambia unaweza kuendesha gari muda mrefu swala la trafik utakutana nao kwenye vizuizi hawa wa mjini sio wasumbufu kama wa Tanzania...
Mi sijawahi kutana na fine zao wananiuliza kama siko poa niendelee na safari ila nikiwa na Truck wanaweka mazingira ya kutaka hela...Umeeleza vizuri. Sema faini zao ukikutwa na kosa sio poa.
Wana faini kubwa. Kwacha 450 ukichenji Tsh ni nyingi kwa sasa.Mi sijawahi kutana na fine zao wananiuliza kama siko poa niendelee na safari ila nikiwa na Truck wanaweka mazingira ya kutaka hela...
Ok sema kwa magari madogo wanatuvizia tochi tena zipo sehemu mbili au tatu mpaka unafika Nakonde kutokea Lusaka sasa hivi napitia Chipata huko hakuna usumbufu kabisa nakuja kutokea kasumulu bara bara nzuri na magari sio mengi kama Nakonde mpaka kapirimposhi na ajali nyingi..huku Malawi ni Mlima Chiweta tuuWana faini kubwa. Kwacha 450 ukichenji Tsh ni nyingi kwa sasa.
Unaingia Chipata then Malawi?Ok sema kwa magari madogo wanatuvizia tochi tena zipo sehemu mbili au tatu mpaka unafika Nakonde kutokea Lusaka sasa hivi napitia Chipata huko hakuna usumbufu kabisa nakuja kutokea kasumulu bara bara nzuri na magari sio mengi kama Nakonde mpaka kapirimposhi na ajali nyingi..huku Malawi ni Mlima Chiweta tuu