Sisi wasanii hatuchangi hela tuUlishatoa kwa lazima?
Hizo hela lazima tule na sisiMlambe asali ya nani? mnafirimbwa nchi nzima, kampeni zikiisha mnapewa vifuta jasho,,, hela wanakula ma-comrade..
Yaani ChiChieM wakupe hela bwege uliotumika tu kuwakusanyia misukule yao..
Waambie hao nyumbu wachangeWafanyabiashara Kariakoo na wale wa kichina wakati ndio huu
Huchangii vipi hela wakati kodi tunalanguliwa nawe ukiwemo?Sisi wasanii hatuchangi hela tu
Hizo hela lazima tule na sisi
Lazima uchange sio ombi nyumbu wewe
Wewe kazi yako ni kuchanga sisi ni kula
Yaani kiaje, kwamba CCM imeishiwa pesa kiasi hicho?Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
@polepole.H, Karibu tuichangie CCM.Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
Wakuu changieni. Hela zikianza kuchotwa hazina msianze kuandika thread za kulaumu, wakati mlipewa chance ya kuchangia mapema. 😃🤣🤣Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
Hiyo sio tone tone, ni kitu kimoja Cha kiutu uzima.......kina kikomo, kina malengo. Ule wizi haukuwa hivi. Anyway, hii inaitwa mkijua hivi sisi tunajua vileeeeee, dadadadeki😆😆😆😆Hatimaye tonetone imefika CCM.
Unawaudhi makamanda uchwara, shauri yako😂Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
Gigy money una nyimbo gani sasa? 😹😹Sisi wasanii tunasubiri kulamba asali tuu
Jitahidini mchange nyingi
Nyimbo tushatunga nyingi
Ni haki yake kurudisha change sehemu ya zilizokwapuliwa.wewe ni mwendawazimu
Hata ukibadilisha lugha, hiyo ni tonetone tu hamna lolote, by the way tunajua mnatakatisha kodi zetu kwa kujifanya mnaitisha harambee, zitawatokea puani siku si nyingi.Hiyo sio tone tone, ni kitu kimoja Cha kiutu uzima.......kina kikomo, kina malengo. Ule wizi haukuwa hivi. Anyway, hii inaitwa mkijua hivi sisi tunajua vileeeeee, dadadadeki😆😆😆😆
Pole sana. Huna ulijualo.Hata ukibadilisha lugha, hiyo ni tonetone tu hamna lolote, by the way tunajua mnatakatisha kodi zetu kwa kujifanya mnaitisha harambee, zitawatokea puani siku si nyingi.
Makamanda hawana hamu tonetone ilivyopotezewaUnawaudhi makamanda uchwara, shauri yako😂
Ya kutawaza particles za maharageGigy money una nyimbo gani sasa? 😹😹
Kamuimbie bwana ako chuma cha chuma aliyekubong’oa 😹Ya kutawaza particles za maharage
Njoo nikuimbie
Wewe changia wenzio tonetone, CCM hawasimamii haki za mashoga.Mi sio shoga, siwachangii