Nani huyoπUmalaya tu huna lolote.
Twende tukabongolewe woteKamuimbie bwana ako chuma cha chuma aliyekubongβoa πΉ
Mwehu tu ndio anaweza kufanya huu upumbavuKufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
Pikipiki na baiskeli bure nchi nzima..Elimu bure nchi nzima. Asante Sana CCM
Wanaojitambua wote tunakutana Mlimani City. TV stations zote zitakua hapo.Uache kusaidia watoto yatima na wasiojiweza uwachangie majizi ili yaje yakuibie vizuri na ukiyakosoa yakuteke yakuuwe pambaf.
Si huyu mleta uzi.ππNani huyoπ
Mimi sipendeleagi kuchangia mambo ya siasa ila kwa hili ilitakiwa nikupige kibao ili uiamshe akili yako π‘π π πKufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.