Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Wamesema wanaomba mchango kwa walio tayari kuchangia. Kama wewe HUWEZI, Ahsante. Sie tushachangia na wengine wanaendelea kuchangia. Wewe subiri utachangia kwenye tone tone!Siwezi kufanya huo ujinga
Tupo pamoja MekuKufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo yetu wote.
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla
SitachangaKufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo yetu wote.
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla
Kama ccm wanachangisha pesa za kampeni je chauma na Act wazalendo watayoa wapi pesa za kampeni
Pole sanaSitachanga
Haya majangili yamepiga pesa za umma hapo yanazugaNadhani Chama kinarudisha gharama za,kuchapisha picha za SSH,boda boda,baiskeli,bajaji, T shirt,Vitenge,Kofia,Ubwabwa na elf tano tano! Kama ulipewa hivyo toa tone tone.
Hawa jamaa mambo yao utafikiri hakuna wasomi humo ndani
Ccm ni chama TAJIRI imekuwepo kwenye DOLA decades nyingi tangia baba wa TAIFA.Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo yetu wote.
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla
Ukitaja hiyo bia naona jioni mbali ππCcm ni chama TAJIRI imekuwepo kwenye DOLA decades nyingi tangia baba wa TAIFA.
Hakuna haja ya kuweka bakuriii kuchukua shilingi mia mia za maskini majority ya watanzania/ TANGANYIKA WAKEUP
Nashaur michango iwe kwa wahitaji ila binafsi naona CCM sio wahitajii ccm ni chama DOLA decades CCM sio mlemavu CCM sio wahitajii kabisa kabisa
NB. min -me hiyo pesa unataka kuitoa mchango tukapige pombe na supu ya samakii
Monetary doctor hiyo pesa unataka kuitoa twende tukanywe bia na kitimoto
Lamomy hiyo pesaaa unataka kuitoa CCM twende ukasukie
Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo yetu wote.
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla[
[/QUOTE]
Pesa yangu nitanunua bando niangalie pornKufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo yetu wote.
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla
Hata mimi ntachangia ccm na pia ntaichangia chademaKufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.