Kwanza siwezi kutoa maji kwenye pipa nikamwaga baharini..!!Ccm ni chama TAJIRI imekuwepo kwenye DOLA decades nyingi tangia baba wa TAIFA.
Hakuna haja ya kuweka bakuriii kuchukua shilingi mia mia za maskini majority ya watanzania/ TANGANYIKA WAKEUP
Nashaur michango iwe kwa wahitaji ila binafsi naona CCM sio wahitajii ccm ni chama DOLA decades CCM sio mlemavu CCM sio wahitajii kabisa kabisa
NB. min -me hiyo pesa unataka kuitoa mchango tukapige pombe na supu ya samakii
Monetary doctor hiyo pesa unataka kuitoa twende tukanywe bia na kitimoto
Lamomy hiyo pesaaa unataka kuitoa CCM twende ukasukie
Kwa kweriiiii 😊 wanatuhadaaaKwanza siwezi kutoa maji kwenye pipa nikamwaga baharini..!!
Uzeni baisikeli na mapikipikiKufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo yetu wote.
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla
Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo yetu wote.
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla
Weka uthibitisho hapa ISIJE KUA PENGINE UNAJITEKENYA NA KUCHEKA MWENYEWE 😊😊Wamesema wanaomba mchango kwa walio tayari kuchangia. Kama wewe HUWEZI, Ahsante. Sie tushachangia na wengine wanaendelea kuchangia. Wewe subiri utachangia kwenye tone tone!
Food for warWatachangia waliopewa baiskeli na pikipiki na chupi.
Kama.kuna stuts inatoa balance live Mimi Niko tayari,hili dude ni letu bafuni,mezani tunalo.Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.
NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo yetu wote.
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla
Naam. Maendeleo hayana chamaMzigo iwe lazima..kwenye kila vocha ilambwe😀😀😀😀
KabisaaNaam. Maendeleo hayana chama
Nikuwekee wewe uthibitisho? Ahahahahaha!!Weka uthibitisho hapa ISIJE KUA PENGINE UNAJITEKENYA NA KUCHEKA MWENYEWE 😊😊
Matomaso waamini kua umechangia CCM ISIJE KUA PENGINE unafanya propaganda.
CCM MBELE KWA MBELE.
😁 Mkuu kwa faida ya umma weka muamala wazi hata kama ni jeroooo weka hapa tuamini kama umechangia CCMNikuwekee wewe uthibitisho? Ahahahahaha!!
Mnachangia mauti!Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu.