GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
mimi sitaichangia nataka ishindwe na ilegee kabisa.
 
tushamaliza kuchangia tunasubiri arudi ikulu tu raundi 2
 
Unachukia kitimoto huku unaenda buza kwa mpalange ushenzi sana,

Jumapili tukutane bunju tukale mududu tukitoka hapo tutubu 😩
Kosa la kula kitimoto adhabu yake unaijua..
Bora kuzibia mitaro tuu tajitetea hata. Kwa aya
 
Mimi nitachukua hizo pesa utakazochanga.
 
Huwezi shindwa hata kulala na ng'ombe kimapenzi takataka kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…