MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Huyo ni Popoma alietukukaKalale ww hujui mpira
Ndio unajitambaga hapa kuwa eti wewe ni TISS,nyambafuuuu. Hata kuficha IDs zako mbili unashindwa,Genta ni Liverpool na Mikia fc na Cleverbright nae ni Liverpool na Mikia huku akiichukia Chelsea na Wakimataifa.Sababu kubwa ni kwamba Chelsea ni Wanafiki mno kwani kama walikuwa na Uwezo wa Kucheza mpira walioucheza jana dhidi ya Chama langu pendwa la Liverpool kwanini hawakucheza mpira ule ule walipocheza na Washamba Manchester United na wakaishia Kufungwa Goli zile 4?
Akhsanteni Liverpool FC.
Sababu kubwa ni kwamba Chelsea ni Wanafiki mno kwani kama walikuwa na Uwezo wa Kucheza mpira walioucheza jana dhidi ya Chama langu pendwa la Liverpool kwanini hawakucheza mpira ule ule walipocheza na Washamba Manchester United na wakaishia Kufungwa Goli zile 4?
Akhsanteni Liverpool FC.
Ndio unajitambaga hapa kuwa eti wewe ni TISS,nyambafuuuu. Hata kuficha IDs zako mbili unashindwa,Genta ni Liverpool na Mikia fc na Cleverbright nae ni Liverpool na Mikia huku akiichukia Chelsea na Wakimataifa.
Mkuu Frank Wanjiru take a glass of cold water...vipi timu yetu ya wananchi huko moshi inaendeleaje??ndizi zimepona kweli kwenye mashamba ya watu...vipi lini tena tutaitisha harambee ya kuchangia timu yetu maana mwaka huu naona pumzi imekata mapema sana hata kabda ligi haijaanza na wakina dante na kina yondani waligoma juzi kati hapo kisa hawajalipwa malimbikizo yao...ile harambee ya kubwa kuliko mzigo haukutosha nini??Ndio unajitambaga hapa kuwa eti wewe ni TISS,nyambafuuuu. Hata kuficha IDs zako mbili unashindwa,Genta ni Liverpool na Mikia fc na Cleverbright nae ni Liverpool na Mikia huku akiichukia Chelsea na Wakimataifa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196]Mkuu Frank Wanjiru take a glass of cold water...vipi timu yetu ya wananchi huko moshi inaendeleaje??ndizi zimepona kweli kwenye mashamba ya watu...vipi lini tena tutaitisha harambee ya kuchangia timu yetu maana mwaka huu naona pumzi imekata mapema sana hata kabda ligi haijaanza na wakina dante na kina yondani waligoma juzi kati hapo kisa hawajalipwa malimbikizo yao...ile harambee ya kubwa kuliko mzigo haukutosha nini??
Hahahaha kachomoa betri Mitaa ya Jukwaa la Siasa,hatujui kama kafa au kanusurikaNiaje An Eagle uko vizuri