Nitaichukia Chelsea kama ninavyoichukia Yanga

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Sababu kubwa ni kwamba Chelsea ni Wanafiki mno kwani kama walikuwa na Uwezo wa Kucheza mpira walioucheza jana dhidi ya Chama langu pendwa la Liverpool kwanini hawakucheza mpira ule ule walipocheza na Washamba Manchester United na wakaishia Kufungwa Goli zile 4?

Akhsanteni Liverpool FC.
 
Ndio unajitambaga hapa kuwa eti wewe ni TISS,nyambafuuuu. Hata kuficha IDs zako mbili unashindwa,Genta ni Liverpool na Mikia fc na Cleverbright nae ni Liverpool na Mikia huku akiichukia Chelsea na Wakimataifa.
 
Hata uichukie hiyo Yanga na Chelsea, bado hakuna kitakacho pungua! Wewe endelea kuwapenda hao mbumbumbu fc wenzako na hao Man U wazee wa Top Six.
 
Hata yanga inakuchukia kwa sababu haikuhitaji wala haikujui
Sababu kubwa ni kwamba Chelsea ni Wanafiki mno kwani kama walikuwa na Uwezo wa Kucheza mpira walioucheza jana dhidi ya Chama langu pendwa la Liverpool kwanini hawakucheza mpira ule ule walipocheza na Washamba Manchester United na wakaishia Kufungwa Goli zile 4?

Akhsanteni Liverpool FC.
 
Ndio unajitambaga hapa kuwa eti wewe ni TISS,nyambafuuuu. Hata kuficha IDs zako mbili unashindwa,Genta ni Liverpool na Mikia fc na Cleverbright nae ni Liverpool na Mikia huku akiichukia Chelsea na Wakimataifa.

Utateseka sana na Mimi Pumbavu.
 
Ndio unajitambaga hapa kuwa eti wewe ni TISS,nyambafuuuu. Hata kuficha IDs zako mbili unashindwa,Genta ni Liverpool na Mikia fc na Cleverbright nae ni Liverpool na Mikia huku akiichukia Chelsea na Wakimataifa.
Mkuu Frank Wanjiru take a glass of cold water...vipi timu yetu ya wananchi huko moshi inaendeleaje??ndizi zimepona kweli kwenye mashamba ya watu...vipi lini tena tutaitisha harambee ya kuchangia timu yetu maana mwaka huu naona pumzi imekata mapema sana hata kabda ligi haijaanza na wakina dante na kina yondani waligoma juzi kati hapo kisa hawajalipwa malimbikizo yao...ile harambee ya kubwa kuliko mzigo haukutosha nini??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Back
Top Bottom