Nitaichukia Manchester United kama Klabu na Mashabiki wake ' Roho Mbaya ' hadi ' Kiama ' cha Mwenyezi Mungu kitakapofika

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama kuna Timu mbili Kubwa duniani ambazo nazichukia na sitozipenda au Kuondoka Kwangu Ulimwenguni ni Yanga SC ya Tanzania na Manchester United ya nchini Uingereza. Haiwezekani Manchester United icheze Mchezo mbovu hivi dhidi ya Manchester City na Kukubali Kipigo ' Kilaini ' hivi.

Sasa kama kumbe mlikuwa mnataka ' Kutukomoa ' Sisi wana Liverpool FC ili mfungwe na tusibebe Kombe Msimu huu kwanini tu basi msingeongea na FA nchini Uingereza ili mechi yenu ya leo msipeleke Timu Uwanjani na badala yake Manchester City wapewe tu ' Ushindi ' wa Mezani?

Na najua Siku zote Mwenyezi Mungu hajawahi Kuacha Kusikiliza ' Dua ' zangu Kwake na safari hii namuomba mno Mwenyezi Mungu ' ailaani ' vilivyo Klabu ya Manchester United ifanye vibaya Mechi zake zote zilizobaki na mpaka Ligi inamalizika iwe katika Nafasi ama ya Nane au ya Kumi kabisa kisha Kocha wake augue ' Uwendawazimu ' ghafla na Mchezaji Paul Pogba ' asuse ' kabisa na aondoke zake.

Hakuna Siku niliyopandwa na Hasira / Jazba kama leo na kama Magaidi wa Boko Haram na Al Shabaab wananisikia naomba waje wanipe tu Mafunzo yao ili wanipe ' Mabomu ' ya Kutosha nikalipue Majengo ya Klabu hizi mbili Yanga ya Tanzania na Manchester United ya Uingereza au niwavizie Wachezaji Wao ' Maarufu ' nilipuke nao tu ili nami ' niwakomoe ' vile vile.

Nilikuwa nimeshaanza Kuivaa Jezi yangu ya Liverpool FC ' Bingwa ' wa 2018/2019 ila kwa ' Upopoma ' huu uliofanywa muda si mrefu tena wa ' Kimakusudi ' kabisa na Wachezaji wa Manchester United kuna uwezekano mkubwa hii Jezi nisivae tena labda nivae tu sasa Jezi inayosema Liverpool FC ni Mshindi wa Pili kwani sioni tena Timu ya Kumsimamisha Manchester City na namuona Pep Guardiola anaenda Kunyanyua ' Kwapa ' yaani Kuchukua hili Kombe la Ligi Kuu ya Uingereza kwa mara nyingine tena.

Nawasilisha.
 
Screenshot_20190425-000902_Instagram.jpg
 
Heri yetu tuliokuwa tumekaa tu home tukijua ni lazima City angeshinda kivyovyote tu ili Man U ifurahie Liverpool kukosa ubingwa 2018/19 epl[emoji87]
 
Kama kuna Timu mbili Kubwa duniani ambazo nazichukia na sitozipenda au Kuondoka Kwangu Ulimwenguni ni Yanga SC ya Tanzania na Manchester United ya nchini Uingereza. Haiwezekani Manchester United icheze Mchezo mbovu hivi dhidi ya Manchester City na Kukubali Kipigo ' Kilaini ' hivi.

Sasa kama kumbe mlikuwa mnataka ' Kutukomoa ' Sisi wana Liverpool FC ili mfungwe na tusibebe Kombe Msimu huu kwanini tu basi msingeongea na FA nchini Uingereza ili mechi yenu ya leo msipeleke Timu Uwanjani na badala yake Manchester City wapewe tu ' Ushindi ' wa Mezani?

Na najua Siku zote Mwenyezi Mungu hajawahi Kuacha Kusikiliza ' Dua ' zangu Kwake na safari hii namuomba mno Mwenyezi Mungu ' ailaani ' vilivyo Klabu ya Manchester United ifanye vibaya Mechi zake zote zilizobaki na mpaka Ligi inamalizika iwe katika Nafasi ama ya Nane au ya Kumi kabisa kisha Kocha wake augue ' Uwendawazimu ' ghafla na Mchezaji Paul Pogba ' asuse ' kabisa na aondoke zake.

Hakuna Siku niliyopandwa na Hasira / Jazba kama leo na kama Magaidi wa Boko Haram na Al Shabaab wananisikia naomba waje wanipe tu Mafunzo yao ili wanipe ' Mabomu ' ya Kutosha nikalipue Majengo ya Klabu hizi mbili Yanga ya Tanzania na Manchester United ya Uingereza au niwavizie Wachezaji Wao ' Maarufu ' nilipuke nao tu ili nami ' niwakomoe ' vile vile.

Nilikuwa nimeshaanza Kuivaa Jezi yangu ya Liverpool FC ' Bingwa ' wa 2018/2019 ila kwa ' Upopoma ' huu uliofanywa muda si mrefu tena wa ' Kimakusudi ' kabisa na Wachezaji wa Manchester United kuna uwezekano mkubwa hii Jezi nisivae tena labda nivae tu sasa Jezi inayosema Liverpool FC ni Mshindi wa Pili kwani sioni tena Timu ya Kumsimamisha Manchester City na namuona Pep Guardiola anaenda Kunyanyua ' Kwapa ' yaani Kuchukua hili Kombe la Ligi Kuu ya Uingereza kwa mara nyingine tena.

Nawasilisha.
napita tu nasubiria wenye ujuzi wa hizi mambo.....
 
Hesabu nyingine ngumu mno.

Yaani Man U ashinde ili Livakuku awe Bingwa?
Afadhali jirani mwenye kelele kuliko Livakuku kuwa Bingwa. Hivyo hivyo
 
Kumbe kuna kipigo kigumu na kilaini,na wewe ulikaa ukawa na matumaini kwamba United àtamfunga City😂😂😂😂.....Kuna watu mna matumaini kweli
 
Back
Top Bottom