Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
Naona Pogba anasaidia kutandika zuria.View attachment 1080309
Poooleee weeeee! Uisamehe tu, timu haina uwezo hiyo! Tena leo wamejitahidi kidogo!
Mungu tena Fowler? Wanastahili laanaDhambi inayowatesa liverkuku ooh sorry liverpool ni kumuita Robie Fowler kuwa ni Mungu, hiyo ilikuwa ni kufuru kubwa sana na hakika itazidi kutafuna kizazi hadi kizazi, mtapambana lakini ubingwa mtausikia kwa majirani zenu labda muombe radhi itakayoambatana na novena ya siku 54!
...Vile vile kuna kile kitendo ambacho alifanya captain wa liverpool S. Gerald kwa kujifanya kuanguka kisha Ba akaipatia goal chelsea kirahisi na kisha kuchukua ubingwa wakati kama ingeisha sare man u wangebeba ubingwa na wala wasingeweka uhasama na liverpool!
...liverpool mlijipalia mkaa wenyewe, kuilaumu man u haisadii kitu, hata misimu 20 ijayo hamtabeba ubingwa wa epl!
Hapo kwa gongowazi tupo pamoja...!
Hata Eto'o ndiyo maana alisema kama kungekuwa na mungu wa mpira basi angeitwa. Messi.Dhambi inayowatesa liverkuku ooh sorry liverpool ni kumuita Robie Fowler kuwa ni Mungu, hiyo ilikuwa ni kufuru kubwa sana na hakika itazidi kutafuna kizazi hadi kizazi, mtapambana lakini ubingwa mtausikia kwa majirani zenu labda muombe radhi itakayoambatana na novena ya siku 54!