Nitaichukia Manchester United kama Klabu na Mashabiki wake ' Roho Mbaya ' hadi ' Kiama ' cha Mwenyezi Mungu kitakapofika

Dhambi inayowatesa liverkuku ooh sorry liverpool ni kumuita Robie Fowler kuwa ni Mungu, hiyo ilikuwa ni kufuru kubwa sana na hakika itazidi kutafuna kizazi hadi kizazi, mtapambana lakini ubingwa mtausikia kwa majirani zenu labda muombe radhi itakayoambatana na novena ya siku 54!
...Vile vile kuna kile kitendo ambacho alifanya captain wa liverpool S. Gerald kwa kujifanya kuanguka kisha Ba akaipatia goal chelsea kirahisi na kisha kuchukua ubingwa wakati kama ingeisha sare man u wangebeba ubingwa na wala wasingeweka uhasama na liverpool!
...liverpool mlijipalia mkaa wenyewe, kuilaumu man u haisadii kitu, hata misimu 20 ijayo hamtabeba ubingwa wa epl!
Hapo kwa gongowazi tupo pamoja...!
Mungu tena Fowler? Wanastahili laana
 
Hata Eto'o ndiyo maana alisema kama kungekuwa na mungu wa mpira basi angeitwa. Messi.

Aliogopa laana.
 
Hongera J.KLOPP umerudisha uhai wa Fans wa Liverpool..
Timu hii ilifikia hatua kutazama mechi zake BANDA UMIZA ilikuwa buree.. Yaani kama game za BUNLEY vile.
Kila timu ishinde mechi zake
 
Back
Top Bottom