Nitaichukia Manchester United kama Klabu na Mashabiki wake ' Roho Mbaya ' hadi ' Kiama ' cha Mwenyezi Mungu kitakapofika

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama kuna Timu mbili Kubwa duniani ambazo nazichukia na sitozipenda au Kuondoka Kwangu Ulimwenguni ni Yanga SC ya Tanzania na Manchester United ya nchini Uingereza. Haiwezekani Manchester United icheze Mchezo mbovu hivi dhidi ya Manchester City na Kukubali Kipigo ' Kilaini ' hivi.

Sasa kama kumbe mlikuwa mnataka ' Kutukomoa ' Sisi wana Liverpool FC ili mfungwe na tusibebe Kombe Msimu huu kwanini tu basi msingeongea na FA nchini Uingereza ili mechi yenu ya leo msipeleke Timu Uwanjani na badala yake Manchester City wapewe tu ' Ushindi ' wa Mezani?

Na najua Siku zote Mwenyezi Mungu hajawahi Kuacha Kusikiliza ' Dua ' zangu Kwake na safari hii namuomba mno Mwenyezi Mungu ' ailaani ' vilivyo Klabu ya Manchester United ifanye vibaya Mechi zake zote zilizobaki na mpaka Ligi inamalizika iwe katika Nafasi ama ya Nane au ya Kumi kabisa kisha Kocha wake augue ' Uwendawazimu ' ghafla na Mchezaji Paul Pogba ' asuse ' kabisa na aondoke zake.

Hakuna Siku niliyopandwa na Hasira / Jazba kama leo na kama Magaidi wa Boko Haram na Al Shabaab wananisikia naomba waje wanipe tu Mafunzo yao ili wanipe ' Mabomu ' ya Kutosha nikalipue Majengo ya Klabu hizi mbili Yanga ya Tanzania na Manchester United ya Uingereza au niwavizie Wachezaji Wao ' Maarufu ' nilipuke nao tu ili nami ' niwakomoe ' vile vile.

Nilikuwa nimeshaanza Kuivaa Jezi yangu ya Liverpool FC ' Bingwa ' wa 2018/2019 ila kwa ' Upopoma ' huu uliofanywa muda si mrefu tena wa ' Kimakusudi ' kabisa na Wachezaji wa Manchester United kuna uwezekano mkubwa hii Jezi nisivae tena labda nivae tu sasa Jezi inayosema Liverpool FC ni Mshindi wa Pili kwani sioni tena Timu ya Kumsimamisha Manchester City na namuona Pep Guardiola anaenda Kunyanyua ' Kwapa ' yaani Kuchukua hili Kombe la Ligi Kuu ya Uingereza kwa mara nyingine tena.

Nawasilisha.
 
IMG-20190425-WA0001.jpeg

Poooleee weeeee! Uisamehe tu, timu haina uwezo hiyo! Tena leo wamejitahidi kidogo!
 
Hahahaha kila mtu apambane na matokeo yake, Man yu ni kibonde siku nyingi tu
 
Kumbe kuna kipigo kigumu na kilaini,na wewe ulikaa ukawa na matumaini kwamba United àtamfunga City😂😂😂😂.....Kuna watu mna matumaini kweli
 
Kama kuna Timu mbili Kubwa duniani ambazo nazichukia na sitozipenda au Kuondoka Kwangu Ulimwenguni ni Yanga SC ya Tanzania na Manchester United ya nchini Uingereza. Haiwezekani Manchester United icheze Mchezo mbovu hivi dhidi ya Manchester City na Kukubali Kipigo ' Kilaini ' hivi.

Sasa kama kumbe mlikuwa mnataka ' Kutukomoa ' Sisi wana Liverpool FC ili mfungwe na tusibebe Kombe Msimu huu kwanini tu basi msingeongea na FA nchini Uingereza ili mechi yenu ya leo msipeleke Timu Uwanjani na badala yake Manchester City wapewe tu ' Ushindi ' wa Mezani?

Na najua Siku zote Mwenyezi Mungu hajawahi Kuacha Kusikiliza ' Dua ' zangu Kwake na safari hii namuomba mno Mwenyezi Mungu ' ailaani ' vilivyo Klabu ya Manchester United ifanye vibaya Mechi zake zote zilizobaki na mpaka Ligi inamalizika iwe katika Nafasi ama ya Nane au ya Kumi kabisa kisha Kocha wake augue ' Uwendawazimu ' ghafla na Mchezaji Paul Pogba ' asuse ' kabisa na aondoke zake.

Hakuna Siku niliyopandwa na Hasira / Jazba kama leo na kama Magaidi wa Boko Haram na Al Shabaab wananisikia naomba waje wanipe tu Mafunzo yao ili wanipe ' Mabomu ' ya Kutosha nikalipue Majengo ya Klabu hizi mbili Yanga ya Tanzania na Manchester United ya Uingereza au niwavizie Wachezaji Wao ' Maarufu ' nilipuke nao tu ili nami ' niwakomoe ' vile vile.

Nilikuwa nimeshaanza Kuivaa Jezi yangu ya Liverpool FC ' Bingwa ' wa 2018/2019 ila kwa ' Upopoma ' huu uliofanywa muda si mrefu tena wa ' Kimakusudi ' kabisa na Wachezaji wa Manchester United kuna uwezekano mkubwa hii Jezi nisivae tena labda nivae tu sasa Jezi inayosema Liverpool FC ni Mshindi wa Pili kwani sioni tena Timu ya Kumsimamisha Manchester City na namuona Pep Guardiola anaenda Kunyanyua ' Kwapa ' yaani Kuchukua hili Kombe la Ligi Kuu ya Uingereza kwa mara nyingine tena.

Nawasilisha.

Dhambi inayowatesa liverkuku ooh sorry liverpool ni kumuita Robie Fowler kuwa ni Mungu, hiyo ilikuwa ni kufuru kubwa sana na hakika itazidi kutafuna kizazi hadi kizazi, mtapambana lakini ubingwa mtausikia kwa majirani zenu labda muombe radhi itakayoambatana na novena ya siku 54!
...Vile vile kuna kile kitendo ambacho alifanya captain wa liverpool S. Gerald kwa kujifanya kuanguka kisha Ba akaipatia goal chelsea kirahisi na kisha kuchukua ubingwa wakati kama ingeisha sare man u wangebeba ubingwa na wala wasingeweka uhasama na liverpool!
...liverpool mlijipalia mkaa wenyewe, kuilaumu man u haisadii kitu, hata misimu 20 ijayo hamtabeba ubingwa wa epl!
Hapo kwa gongowazi tupo pamoja...!
 
Condition nzuri ktk Mpira ili uwe bingwa ni kushinda tu mwenyewe swala la kutaka team fulan ifungwe ili uwe bingwa ni gumu Sana bt usikate Tamaa city bdo ana gemu gumu la away la Leicester city so nenden mkachonge na hao jamaa ili wawakazie city
 
Aiseee...[emoji15]...kumbe Liverpool walishawahi kumwita kiumbe aitwaye Robie Fowler kuwa Mungu[emoji848][emoji30]
Dhambi inayowatesa liverkuku ooh sorry liverpool ni kumuita Robie Fowler kuwa ni Mungu, hiyo ilikuwa ni kufuru kubwa sana na hakika itazidi kutafuna kizazi hadi kizazi, mtapambana lakini ubingwa mtausikia kwa majirani zenu labda muombe radhi itakayoambatana na novena ya siku 54!
...Vile vile kuna kile kitendo ambacho alifanya captain wa liverpool S. Gerald kwa kujifanya kuanguka kisha Ba akaipatia goal chelsea kirahisi na kisha kuchukua ubingwa wakati kama ingeisha sare man u wangebeba ubingwa na wala wasingeweka uhasama na liverpool!
...liverpool mlijipalia mkaa wenyewe, kuilaumu man u haisadii kitu, hata misimu 20 ijayo hamtabeba ubingwa wa epl!
Hapo kwa gongowazi tupo pamoja...!
 
Kwan ile siku Geradi si aliteleza wala hakufanya makusudi
Manyua wanakwambia kuwa hakuteleza alijisababishia kuteleza kwa makusudi kama vile Mashabiki na wachezaji wa Manyua FC pekee ndiyo waliutazama mpira[emoji1]
 
...Vile vile kuna kile kitendo ambacho alifanya captain wa liverpool S. Gerald kwa kujifanya kuanguka kisha Ba akaipatia goal chelsea kirahisi na kisha kuchukua ubingwa wakati kama ingeisha sare man u wangebeba ubingwa na wala wasingeweka uhasama na liverpool!
...
Mkuu, hapo umechanganya! Hiyo siku aliyoteleza, wao Liver ndio walikuwa wachukue ubingwa. Siku aliyowakatili MANUTD, ni siku aliyorudisha mpira golini kwao, alikokuwepo Drogber, ambaye alifunga.
 
Gerard aliiua Manchester United msimu wa 2009/2010. Kipindi hicho Liverpool walikuwa na makombe 18 ya Epl na Manchester naye akiwa nayo 18. Mbio za ubingwa zilikuwa kali baina ya Chelsea(chini ya Ancelot) na Man United, ndipo siku ya mechi kati ya Chelsea na Liverpool, Gerard akampasia Drogba na wakafungwa na ikawa tiketi ya Chelsea kubeba ubingwa. Gerard aliona bora Chelsea achukue kombe na siyo Man United, maana man United wangechukua kombe wangefikisha Epl 19 dhidi ya 18 za Liverpool.
 
Dhambi inayowatesa liverkuku ooh sorry liverpool ni kumuita Robie Fowler kuwa ni Mungu, hiyo ilikuwa ni kufuru kubwa sana na hakika itazidi kutafuna kizazi hadi kizazi, mtapambana lakini ubingwa mtausikia kwa majirani zenu labda muombe radhi itakayoambatana na novena ya siku 54!
...Vile vile kuna kile kitendo ambacho alifanya captain wa liverpool S. Gerald kwa kujifanya kuanguka kisha Ba akaipatia goal chelsea kirahisi na kisha kuchukua ubingwa wakati kama ingeisha sare man u wangebeba ubingwa na wala wasingeweka uhasama na liverpool!
...liverpool mlijipalia mkaa wenyewe, kuilaumu man u haisadii kitu, hata misimu 20 ijayo hamtabeba ubingwa wa epl!
Hapo kwa gongowazi tupo pamoja...!
Hahahaha we Jamaa muongo hapo kwa Manchester eti angebeba ubingwa kama Gerald asingeanguka
 
Mkuu, hapo umechanganya! Hiyo siku aliyoteleza, wao Liver ndio walikuwa wachukue ubingwa. Siku aliyowakatili MANUTD, ni siku aliyorudisha mpira golini kwao, alikokuwepo Drogber, ambaye alifunga.

Mkuu nimelipenda sana neno lako hilo la ' Drogber ' uliloliandika hapa. Hivi huyu hana ' Undugu ' labda na Yule ' Drogba ' ambaye Wanamichezo wengi tunamjua na kumuelewa?
 
Duh!roho mbaya hadi ulaya

Back
Top Bottom