Mimi kuipigia kura ccm nitakuwa namkosea mungu wanguItarejesha mchakato wa katiba mpya bungeni ambao ulio taarishwa na tume ya warioba .
Kuidhinisha mfumo wa serikali tatu, na kutekelezwa baada ya uchaguzi.
Kuahidi kusimamia democracy kuazia hivi sasa na sio baada ya uchaguzi.
Kuachiwa huru wale Wote walio kamatwa kwa kesi za kisiasa wakiwemo viongozi wa uwamsho.
Demand hizi ziaze mwaka huu kabla ya October uchaguzi mkuu.
Mimi na familia yangu nitakuwa tayari kuipigia ccm na kuhamasisha .
Je wewe ?
Hawa jamaa hata wapinzani washinde kwa asilimia mia hawawezi kuachia nchi.... Mabomu wanayo ... .smg, AK-47 zipo wanaacha vip mgodi wa merani, gesi ya mtwara vip GGM........ Ni mtazamu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uamsho waachiwe huru? Kama ni hivyo kura yako baki nayo hukohuko.
Muungano wenu ni wa kipekee sana na hivyo ulivyo una tija sana kwa wanañchi wa pànde zote.
Miaka yote ulikuwa wapi?
Wala sijampangia dogo, bali nashangaa!
Katiba mliyoikimba bungeni ,kama hamna pesa kauzeni mbege kwa mrombooo
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii listi we kaa nayo na familia yakoItarejesha mchakato wa katiba mpya bungeni ambao ulio taarishwa na tume ya warioba .