Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm haihitaji kura hata moja ili kukaa madarakani. Inahitaji jeshi linaloitii na tume ya uchaguzi inayoweza kutii matakwa yao. Juzi kulikuwa na uchaguzi wa serikali za mitaa, hao viongozi wake wako madarakani kwa kura?
Mtazamo kama huu wako ndio unaoharibu taifa.
Kosa kubwa tena la jinai ni vyombo vya dola ikiwemo tume ya uchaguzi, majeshi na watumishi wa uma kujihusisha kwa uwazi kwenye siasa na kufanya upendeleo kwa chama fulani (tawala au upinzani).
Kila raia anatakiwa kupinga kwa maneno na vitendo uhalifu wowote unaotendwa kwa kumzuia mhalifu na baadaye kumshitaki.
CCM haihusiki moja kwa moja hapa.
Kulaumu na kuelekeza lawama CCM ni kupoteza muda bila ufanisi wowote wa kutatua tatizo (kama una uthibitisho lipo).
Ili tuendelee tunahitaji watu wanaowaza na kutatua matatizo kwa ufanisi.
CCM ni koti la babu lazima ulivae, hata kama lina kunguni na chawa ukikataa kilivaa utapata laana, ndipo tulipo fikiaCcm haihitaji kura hata moja ili kukaa madarakani. Inahitaji jeshi linaloitii na tume ya uchaguzi inayoweza kutii matakwa yao. Juzi kulikuwa na uchaguzi wa serikali za mitaa, hao viongozi wake wako madarakani kwa kura?
Mkuu Ghibuu, kwa muda ambao sisi wana jf tunakutana humu, baadhi yetu tumetokea kujuana na kufahamiana misimamo, hivyo inapotokea mtu ambaye ni ngangari die hard kufikia hata kuwaza tuu kuwa ataipigia kura CCM, hii ni dalili nzuri sana na huu ndio ukweli wenyewe wa siasa za Tanzania.Itarejesha mchakato wa katiba mpya bungeni ambao ulio taarishwa na tume ya warioba .
Kuidhinisha mfumo wa serikali tatu, na kutekelezwa baada ya uchaguzi.
Kuahidi kusimamia democracy kuazia hivi sasa na sio baada ya uchaguzi.
Kuachiwa huru wale Wote walio kamatwa kwa kesi za kisiasa wakiwemo viongozi wa uwamsho.
Demand hizi ziaze mwaka huu kabla ya October uchaguzi mkuu.
Mimi na familia yangu nitakuwa tayari kuipigia ccm na kuhamasisha .
Je wewe ?
Duh...kumbe mmetafakari...ukweli ndio huo CCM ndio kila kitu.Ndio tumetafakari hivyo na kukubaliana, ilikuwa ni mjadala mkubwa, hii ni kwa manufaa yetu sote
Mkuu Ghibuu, kwa muda ambao sisi wana jf tunakutana humu, baadhi yetu tumetokea kujuana na kufahamiana misimamo, hivyo inapotokea mtu ambaye ni ngangari die hard kufikia hata kuwaza tuu kuwa ataipigia kura CCM, hii ni dalili nzuri sana na huu ndio ukweli wenyewe wa siasa za Tanzania.
Kwa sisi watu wa sayansi ya siasa, huku ni kukubali matokeo, unajua kabisa kuwa licha ya uchaguzi kuwa ni October, lakini umeishajua wazi tayari CCM ni mshindi wa jumla wa pande zote mbili bara na visiwani, iwe ni ushindi halali/haramu, bali mwisho wa siku mshindi ni mshindi na akiishatangazwa, anakuwa ni mshindi halali kwa kanuni ya the end justifies the means.
Nashukuru kwa watu kama nyinyi ambao ni ma die hard kulitambua hili kuwa mshindi tayari tunaye, uchaguzi ni kuhalalisha tuu kwa kutimiza taratibu, hivyo kinachotafutwa sasa ni asilimia tuu za ushindi kama ni iwe ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kama ule ushindi wa serikali za mitaa, ama kwa Uchanguzi Mkuu waachie kidogo angalau iwe 89.9% ili hiyo asilimia 10% wawaruhusu wapinzani kutokea Pemba angalau kuhalalisha Tanzania kuendelea kuitwa ni nchi ya vyama vingi vya siasa na Bunge na BLW liitwe ni Bunge/BLW la vyama vingi.
Baada ya kulijua hilo, sasa unachofanya wewe ni kutaka kuihonga CCM kura yako kwa ku set conditions ili kuionyeshea CCM ina shida sana na kura yako!. Mtu anayeweza ku set conditions na demands ni mtu ambaye ni determinant ya ushindi, kiasi kwamba CCM itaogopa kama isipotekeleza hizo demands, itakosa kura yako na itashindwa!. Mtu mwenye uhakika wa ushindi wa kishindo cha asilimia 99 9%, unampa conditional demands ili kuipata na kura yako moja ili ushindi wake uwe ni 100%, atakubali?!.
Japo mimi sina chama, lakini nakushauri, hiyo kura yako kaa nayo tuu mwenyewe, maana najua this time around, hutaipeleka kule unapoipelekaga kwasababu umeisha jua ni kupoteza muda tuu, ila hoja zako zimesikika na zina mashiko, hazitumika uchaguzi huu, ila kwa ule wa 2025, watakufikiria.
Asante kuipigia kura CCM japo kwa mawazo tuu.
Naiona ile 99 9% ikakaribia bila mawaa!.
P
Duh!Itarejesha mchakato wa katiba mpya bungeni ambao ulio taarishwa na tume ya warioba .
Kuidhinisha mfumo wa serikali tatu, na kutekelezwa baada ya uchaguzi.
Kuahidi kusimamia democracy kuazia hivi sasa na sio baada ya uchaguzi.
Kuachiwa huru wale Wote walio kamatwa kwa kesi za kisiasa wakiwemo viongozi wa uwamsho.
Demand hizi ziaze mwaka huu kabla ya October uchaguzi mkuu.
Mimi na familia yangu nitakuwa tayari kuipigia ccm na kuhamasisha .
Je wewe ?
Duh!
Kwa hiyo unataka kuihonga ccm kura yako na familia yako kwa hivyo vigezo vyako?
Ccm hii hii ya kijani au ipo nyingine huko Pemba?
Inaitwa chama cha mapinduzi yaani kinaweza pindua pindua mpaka akili za watanzania achilia mbali kupindua kura.
Kiufupi unaikubali ccm kiaina achilia mbali hizo conditions ambazo umewapa na ninavowafahamu ccm hawashindwi hata kukupiga changa la macho na hivyo vigezo vyako ukaimba iyena iyena ikiwa wameona una mashiko katika kuondoa umapinduzi wao na vinginevyo endelea kuiwaza tu ccm yenye wenyewe na watajipindua wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaizungumzia ccm hii hii nambari wani?Mkuu
Mi sifati chama, naangalia maslahi ya taifa langu na sisi kwa ujumla, Zanzibar huku kwetu tumaji na muungano huu tulio nao, tuliondoka uzuri hapa mpaka bunge la katiba, then wakawageuka wazanzibari na watanganyika kwa ujumla.
Toka hapo awali kama ccm ingejifunza kwa makosa yake ya uchaguzi mkuu Oct 2015. Basi tungelikuwa mbali sasa. Watupe demands au 2020 hii tunaoyondoa tena kwa kura kwa kishindo na aibu
Mimi ni mtanzania, labda na wewe pia. Tuweke kwanza vyama vyetu pembeni.Hayo yote sasa hivi yanafanyika kwa uwazi, ni hatua gani umechukua ili tujue wangalau ww huafiki hiki kinachoendelea? Ccm haihusiki vipi kwenye hili wakati inafaidika moja kwa moja na hali hiyo?
kwa vigezo hivi, hutaipigia kura CCM hadi Yesu atakaporudi mara ya pili walah!!Itarejesha mchakato wa katiba mpya bungeni ambao ulio taarishwa na tume ya warioba .
Kuidhinisha mfumo wa serikali tatu, na kutekelezwa baada ya uchaguzi.
Kuahidi kusimamia democracy kuazia hivi sasa na sio baada ya uchaguzi.
Kuachiwa huru wale Wote walio kamatwa kwa kesi za kisiasa wakiwemo viongozi wa uwamsho.
Demand hizi ziaze mwaka huu kabla ya October uchaguzi mkuu.
Mimi na familia yangu nitakuwa tayari kuipigia ccm na kuhamasisha .
Je wewe ?
Daah usipige tu,ila naamin hakuna kipind hii nchi na serikali itapata kura nyingi kama mwez wa 10 mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mtanzania, labda na wewe pia. Tuweke kwanza vyama vyetu pembeni.
Maana halisi ya kupigania uhuru ilikuwa kuhakikisha usawa was binadamu.
Sasa Uhuru ulipatikana lakini bado wengi wana fikra za nyumbu dhidi ya simba kwamba hawana cha kufanya? Upumbavu kabisa.
Lazima watu wajue wote ni binadamu na wana haki sawa.
Pili, wasipambane na adui wasiyemuona moja kwa moja,waanze yule anayeonekana moja kwa moja.
Siyo kupigana kwa silaha bali hoja zenye mashiko.
Ni Aibu Chama kikongwe kuogopa Mchakato wa Katiba Mpya tena iko kwenye Ilani yakeKatiba mliyoikimba bungeni ,kama hamna pesa kauzeni mbege kwa mrombooo
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ghibuu, kwangu kitu muhimu ni nyinyi Wanzanzibari kuubali ukweli, kama CCM inaweza kushindwa na bado ikatangazwa mshindi, hiyo kura yako yanini hadi wainunue kwa masharti hayo?.Pascal
Unataka kujua ukweli, ccm haishindi kwa Zanzibar hata asilimia 20 ,kinacho fanyika ni usanii ambao hata mtoto mchanga ukimfanyia atakuharia tu kama ni uwongo.
Demands hizi ndio tunazo taka wazanzibari, la laiti kama ccm wangekuwa wanawasikiliza wazanzibari maudhui yao, maoni yao basi hata uchaguzi usinge kuwepo tungechagua hata mfalme tu atawale.
Lakini mambo ni tofauti, wazanzibari asilimia 90 wanataka Zanzibar huru , na watanganyika wanataka democracy na katiba mpya.
Mimi sio kafu wala ccm lakini kura yangu siwezi kuipa ccm kwa sababu demands yangu hio hapo juu toka nipate ufahamu wangu, na ndio ufahamu wa wazanzibari, kwa hio kama ccm watatusikiliza mahitaji yetu mbona easy uchaguzi?
Bila ya hivyo bashiru atakesha kwa waganga, wajue ipo siku hata police na TISS pamoja na JWTZ wataichoka ccm kama Zimbabwe [emoji1269] na mugabe
Hakuna lisilo na mwisho