Nitaishangaa sana na mno Familia ya ' Marehemu ' bila kusahau Ndugu, Jamaa na Marafiki wakiuamini huu Upuuzi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hebu Watanzania ifike muda sasa tubadilike na tuacheni kuwa Wapuuzi wa Kiwango cha Kimataifa cha Kujifanya tunajua kila Sababu za Vifo vinavyowatokea Watanzania wenzetu hasa wenye Umaarufu mkubwa kwani kufanya hivyo ni kutaka Kuyaingilia Majukumu ya Mwenyezi Mungu na Israeli wake ambayo Sisi Wanadamu hatuna na kamwe hatutoweza kuwa nayo.

Yaani hata Mwili wa ' Marehemu ' bado haujawekwa vizuri au haujapoa katika Friji za Mochwari za Abu Dhabi tayari kuna Mtanzania Mmoja ' Mwendawazimu ' aliye Marekani alishaanza kuleta Upuuzi wake wa ' Speculations ' za Kifo hiki na bahati mbaya mno kuwa ' Wendawazimu ' wenzake ambao nao humuamini kwa kila Kitu nao wakamuamini na Kuuendeleza Upuuzi huo huo Mitandaoni na hata katika Vijiwe vyetu vya Majungu.

Hivi kuna Binadamu ambaye ameingia Mkataba wa Kutokufa na Mwenyezi Mungu? Na kama tunajua fika kuwa hata Kiimani Kufa ni Sherehe ya Mwanadamu na Wajibu wake ni kwanini pale Mtu ' Maarufu ' tu akitangulia mbele za haki tunaanza ' Kuzusha ' na Kutengeneza Hisia na Uadui usio na Tija wala Mantiki kwa Familia za hao Wapendwa Marehemu zetu?

Kama kweli mnajifanya mnajua sana sababu Kuu za Vifo vya Watu ' Maarufu ' nchini Tanzania hebu leo basi naomba mniambie Mimi GENTAMYCINE nani alisababisha Vifo vya Yesu Kristo na Mtume Mohammed na kwamba nani alaumiwe hasa kwa Vifo vyao hivyo kwani walikuwa wakati bado Sisi Watenda Dhambi ( nami nikiwemo ) tukiwa bado tunawahitaji sana na mno tu.

Nakiri kuwa katika Familia nyingi za Kitanzania ' Misuguano ' huwa ipo tena sana tu ila ' Misuguano ' ya Wanafamilia isitupelekee Sisi ' Mapopoma / Wapumbavu ' wengine ambao hata hatuhusiki kabisa na hizo Familia kuanza Kutengeneza ' Speculations ' za Kipuuzi huku tukijua kabisa kuwa Wana Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki bado wanamuombeleza Mpendwa Wao.

Kuna Watu nilikuwa nawaheshimu lakini taratibu sasa naanza ' Kuwadharau ' na naanza Kuona ' Laana ' kubwa ikianza Kuwanyemelea hata kama hawaishi hapa Tanzania na wanaishi kwa Donald Trump na Watoto wao waliozaa na Wazungu wasiojulikana. Yaani kuna Watu wamekaa Kimajungu Majungu tu Zari akifanya Jambo watamsema, Diamond akifanya Jambo watamsema ili mradi tu Watu ambao ana Chuki nao kwa ' Interests ' zake mwenyewe wakikengeuka au wakitokewa na Jambo basi hapo hapo anapata nafasi ya Kuwaharibia na Kuwavunjia Heshima.

Mbona na sababu iliyopelekea Kifo cha Baba yake Mzazi huwa haisemi ila sababu za Vifo vya Watu wengine huwa anashadadia tu mara kwa mara? GENTAMYCINE kama Mkristo na Mtu mzuri tu mwenye Hofu ya Mungu natambua ya kwamba Kifo cha Marehemu ni cha Mapenzi yake Mwenyezi Mungu na hakina cha sijui Mkono wa Jackline wala Hussein au mambo mengine na kikubwa tu ni kwamba kwa sasa tunakiwa Kuungana na Familia na Watanzania wengine Kumlilia ' Marehemu ' kisha tuupokee Mwili wake, tumuage na tukamuhifadhi katika Nyumba yake ya Milele huku tukiyaenzi yale yote mema hasa yaliyo katika ile ' Falsafa ' yake ya I CAN, I MUST, I WILL.

Naamini ' Message Sent and Delivered ' kwa itakayomgusa / itakayowagusa.

Nawasilisha.
 
Na wewe utakuwa una matatizo, nyamaza ufiche ujinga wako kama huyo Mmarekani....

Hujawahi kuwa na ' Akili ' hapa Jamvini ( JamiiForums ) Wewe ' damn FOOL ' uliyetukuka.
 
Mimi nadhani wewe ndo mpumbavu. Wewe una ushahidi gani? Si bora yeye kasema kaambiwa na ndugu wa familia?
 
Hakuna Ndugu wa Familia ' Mpumbavu ' kama Wewe na huyo Mzushi wako wa Kimarekani anaweza akathubutu kutoa Siri zote hadharani za Ndugu yao ambaye pia alikuwa ni Tajiri mkubwa tu hapa nchini Tanzania.
 
"Mbona na sababu iliyopelekea Kifo cha Baba yake Mzazi huwa haisemi ila sababu za Vifo vya Watu wengine huwa anashadadia tu mara kwa mara?"

Hapo umemilza kila kitu
 
huyu mleta mada nae pumbavu sana, sjawahi kuelewa akili yake ilivyo, yani tatu mbele nne nyuma
 
Hebu Watanzania ifike muda sasa tubadilike na tuacheni kuwa Wapuuzi wa Kiwango cha Kimataifa cha Kujifanya tunajua kila Sababu za Vifo vinavyowatokea Watanzania wenzetu hasa wenye Umaarufu mkubwa kwani kufanya hivyo ni kutaka Kuyaingilia Majukumu ya Mwenyezi Mungu na Israeli wake ambayo Sisi Wanadamu hatuna na kamwe hatutoweza kuwa nayo.

Yaani hata Mwili wa ' Marehemu ' bado haujawekwa vizuri au haujapoa katika Friji za Mochwari za Abu Dhabi tayari kuna Mtanzania Mmoja ' Mwendawazimu ' aliye Marekani alishaanza kuleta Upuuzi wake wa ' Speculations ' za Kifo hiki na bahati mbaya mno kuwa ' Wendawazimu ' wenzake ambao nao humuamini kwa kila Kitu nao wakamuamini na Kuuendeleza Upuuzi huo huo Mitandaoni na hata katika Vijiwe vyetu vya Majungu.

Hivi kuna Binadamu ambaye ameingia Mkataba wa Kutokufa na Mwenyezi Mungu? Na kama tunajua fika kuwa hata Kiimani Kufa ni Sherehe ya Mwanadamu na Wajibu wake ni kwanini pale Mtu ' Maarufu ' tu akitangulia mbele za haki tunaanza ' Kuzusha ' na Kutengeneza Hisia na Uadui usio na Tija wala Mantiki kwa Familia za hao Wapendwa Marehemu zetu?

Kama kweli mnajifanya mnajua sana sababu Kuu za Vifo vya Watu ' Maarufu ' nchini Tanzania hebu leo basi naomba mniambie Mimi GENTAMYCINE nani alisababisha Vifo vya Yesu Kristo na Mtume Mohammed na kwamba nani alaumiwe hasa kwa Vifo vyao hivyo kwani walikuwa wakati bado Sisi Watenda Dhambi ( nami nikiwemo ) tukiwa bado tunawahitaji sana na mno tu.

Nakiri kuwa katika Familia nyingi za Kitanzania ' Misuguano ' huwa ipo tena sana tu ila ' Misuguano ' ya Wanafamilia isitupelekee Sisi ' Mapopoma / Wapumbavu ' wengine ambao hata hatuhusiki kabisa na hizo Familia kuanza Kutengeneza ' Speculations ' za Kipuuzi huku tukijua kabisa kuwa Wana Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki bado wanamuombeleza Mpendwa Wao.

Kuna Watu nilikuwa nawaheshimu lakini taratibu sasa naanza ' Kuwadharau ' na naanza Kuona ' Laana ' kubwa ikianza Kuwanyemelea hata kama hawaishi hapa Tanzania na wanaishi kwa Donald Trump na Watoto wao waliozaa na Wazungu wasiojulikana. Yaani kuna Watu wamekaa Kimajungu Majungu tu Zari akifanya Jambo watamsema, Diamond akifanya Jambo watamsema ili mradi tu Watu ambao ana Chuki nao kwa ' Interests ' zake mwenyewe wakikengeuka au wakitokewa na Jambo basi hapo hapo anapata nafasi ya Kuwaharibia na Kuwavunjia Heshima.

Mbona na sababu iliyopelekea Kifo cha Baba yake Mzazi huwa haisemi ila sababu za Vifo vya Watu wengine huwa anashadadia tu mara kwa mara? GENTAMYCINE kama Mkristo na Mtu mzuri tu mwenye Hofu ya Mungu natambua ya kwamba Kifo cha Marehemu ni cha Mapenzi yake Mwenyezi Mungu na hakina cha sijui Mkono wa Jackline wala Hussein au mambo mengine na kikubwa tu ni kwamba kwa sasa tunakiwa Kuungana na Familia na Watanzania wengine Kumlilia ' Marehemu ' kisha tuupokee Mwili wake, tumuage na tukamuhifadhi katika Nyumba yake ya Milele huku tukiyaenzi yale yote mema hasa yaliyo katika ile ' Falsafa ' yake ya I CAN, I MUST, I WILL.

Naamini ' Message Sent and Delivered ' kwa itakayomgusa / itakayowagusa.

Nawasilisha.
Mkuu umenena Watanzania siku hizi tumekuwa watu sijui tuiteje,mtu mwehu ndie tunamshabikia,kweli kwa yoyote mwenye akili atamsikiliza huyo mdada mwendawazimu ,nashangaa sana Watanzania tumekosa maarifa na tumekuwa kama kasuku atakachosema huyu dada wa Marekani basi wajinga wote wanaamini,ndio wajinga,kwa mwenye akili timamu huwezi kumshabikia mwendawazimu kwa uwazimu wake.
 
Hakuna Ndugu wa Familia ' Mpumbavu ' kama Wewe na huyo Mzushi wako wa Kimarekani anaweza akathubutu kutoa Siri zote hadharani za Ndugu yao ambaye pia alikuwa ni Tajiri mkubwa tu hapa nchini Tanzania.
Wewe ndo mpumbavu.
 
"Mbona na sababu iliyopelekea Kifo cha Baba yake Mzazi huwa haisemi ila sababu za Vifo vya Watu wengine huwa anashadadia tu mara kwa mara?"

Hapo umemilza kila kitu
Semeni nyie mnaojua, mganga hajigangi.
 
WATUTSI WANATETEANA,NI KAWAIDA YAO,CHA MUHIMU HAPA KINA REGINA NA ABDIEL WAJIANGALIE SANA ,WANA DEAL NA MAFIOSO WA KINYARWANDA,BAADA YA KU PENETRATE NA KUMFANYA KUWA MISS TANZANIA MIAKA HIYO NA BAADAYE KUOLEWA NA BILIONEA ,MWANAMKE AKANZISHA KITAASISI NA KUJAZA WATUSTIS WENZAKE HAPO SO HAKUNA ACHA AJABU KUTETEANA HAPA JAMII FORUMS
LENGO LAO KUBWA HUKO MBELENI NI KUJA KULETA VURUGU KUBWA HAPA TANZANIA NA KUJITWALIA ARDHI NAWEZA KUSEMA WANAELEKEA KUFANIKIWA MAANA AWAMU YA TANO IMEWAKUMBATIA KICHWAKICHWA NAO WAMEJAZANA HAPA JF KUMSIFU MTAKATIFUWETU MAANA WALISHAJUA ANACHOPENDA NI KUSIFIWA TU
 
Back
Top Bottom