Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Wanaomuamini Mange Wote Ni Wapumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ACHA UJINGA KIJANA.... HEBU TWAMBIE ULITAKA MENGI AFE LINI? ULITAKA AFIE MIKONONI MWANANI? ULITAKA AFEJE NDIO UONE NI HAKI?WATUTSI WANATETEANA,NI KAWAIDA YAO,CHA MUHIMU HAPA KINA REGINA NA ABDIEL WAJIANGALIE SANA ,WANA DEAL NA MAFIOSO WA KINYARWANDA,BAADA YA KU PENETRATE NA KUMFANYA KUWA MISS TANZANIA MIAKA HIYO NA BAADAYE KUOLEWA NA BILIONEA ,MWANAMKE AKANZISHA KITAASISI NA KUJAZA WATUSTIS WENZAKE HAPO SO HAKUNA ACHA AJABU KUTETEANA HAPA JAMII FORUMS
LENGO LAO KUBWA HUKO MBELENI NI KUJA KULETA VURUGU KUBWA HAPA TANZANIA NA KUJITWALIA ARDHI NAWEZA KUSEMA WANAELEKEA KUFANIKIWA MAANA AWAMU YA TANO IMEWAKUMBATIA KICHWAKICHWA NAO WAMEJAZANA HAPA JF KUMSIFU MTAKATIFUWETU MAANA WALISHAJUA ANACHOPENDA NI KUSIFIWA TU
watutsi wamechamaaaa,seriously awamu ya tano inabugi sana kuwakumbatia,lengo lenu siyo zuri mnachowaza ni mauaji tu na hakyamungu kama utani mnafanikiwa ,mnatetea sana dada yenu na kwenye kile kitaasisisi chake kimejaa watutsi tu, huruma ni kwa kina Regina inabidi wawe makini sana sababu sehemu kubwa ya urithi watapata ila TUTSI ASSASINS hawatakubali,halafu suala la eti ulitaka aliishi kwa miaka mingapi kwani umesikia hi NI NO COUNTRY FOR OLD MEN?kamuueni Mwinyi basi kama hamtaki wazee?ACHA UJINGA KIJANA.... HEBU TWAMBIE ULITAKA MENGI AFE LINI? ULITAKA AFIE MIKONONI MWANANI? ULITAKA AFEJE NDIO UONE NI HAKI?
Hivi huyo Mange wenu mlishamuulia baba yake alikufa kwa sababu zipi?
WATUTSI WANATETEANA,NI KAWAIDA YAO,CHA MUHIMU HAPA KINA REGINA NA ABDIEL WAJIANGALIE SANA ,WANA DEAL NA MAFIOSO WA KINYARWANDA,BAADA YA KU PENETRATE NA KUMFANYA KUWA MISS TANZANIA MIAKA HIYO NA BAADAYE KUOLEWA NA BILIONEA ,MWANAMKE AKANZISHA KITAASISI NA KUJAZA WATUSTIS WENZAKE HAPO SO HAKUNA ACHA AJABU KUTETEANA HAPA JAMII FORUMS
LENGO LAO KUBWA HUKO MBELENI NI KUJA KULETA VURUGU KUBWA HAPA TANZANIA NA KUJITWALIA ARDHI NAWEZA KUSEMA WANAELEKEA KUFANIKIWA MAANA AWAMU YA TANO IMEWAKUMBATIA KICHWAKICHWA NAO WAMEJAZANA HAPA JF KUMSIFU MTAKATIFUWETU MAANA WALISHAJUA ANACHOPENDA NI KUSIFIWA TU
ni ngumu kuamini bwashee lakini as a country tupo compromised vibaya sana,nenda jukwaa la siasa katafute mada za kumkosoa kagame angalia ya comments vizuri ,angalia hayo majina then rudi hapa kwenye uzi kuhusu dada yao kyln,hawa watu wapo kila mahala sasa hivi,It is just a matter of time ingawa hata haya matukio yanayotokea sasa hivi sishangai,tushaivaa roho yaoStori za mgahawani hizi,
ni ngumu kuamini bwashee lakini as a country tupo compromised vibaya sana,nenda jukwaa la siasa katafute mada za kumkosoa kagame angalia ya comments vizuri ,angalia hayo majina then rudi hapa kwenye uzi kuhusu dada yao kyln,hawa watu wapo kila mahala sasa hivi,It is just a matter of time ingawa hata haya matukio yanayotokea sasa hivi sishangai,tushaivaa roho yao
\kam unabisha,we endelea kubisha bwashee ila fatilia taasisi ya KYLN kina nani wana i run na wamejaa watu gani uje unipe jibu.
katika majitu uharo namba moja hapa jukwaani ni wewe yaani siku nikikutana na wewe nakuchapa vibao kwa mkono mmoja huku mwingine navuta fegiKuwa makini sana Maisha yako yanaweza muda wowote kuwa ni Mali ya Watutsi kama utaendelea Kuiongelea vibaya nchi yangu ya Rwanda, Kabila langu la Tutsi na hasa Kumuongelea vibaya Rais wangu Mpendwa Mheshimiwa Paul Kagame. Usidhani kuwa hapo ulipo ukihitajika hutapatikana. Cheza na Watanzania wenzako ila acha kutafuta matatizo na Wanyarwanda kwani utakuja Kujuta kama si Kujutia pia. Usije kusema sikukuonya na kawaida yetu huwa tunaanza Kwanza kwa Kuonya kama njia ya Ustaarabu na usiposikia ndipo tunafanya yetu ambayo tukiamua hatushindwi.
katika majitu uharo namba moja hapa jukwaani ni wewe yaani siku nikikutana na wewe nakuchapa vibao kwa mkono mmoja huku mwingine navuta fegi
WALE MLIOKUWA MNABISHA NILICHOKUWA NASEMA MMEAMINI SASA?HADI IGP WENU ALIENDA RWANDA ETI KUJIFUNZA
HAHAHAHA CHINEKEEE,WAPUMBAVU WAKUBWA MAJITU YANAJUA KUUANA TU,KIKWETE WAS A MAN AND A HALF KUWAFUKUZA KAMA MBWA WARUDI KWENYE MACHINJIO YAO
Naskia PKey kapitia St Augustine na katembelea tembelea Uganda Sana.Anza Kugawa Urithi kwa Wanafamilia wako na Kuaga Ndugu, Jamaa na Marafiki huku ukiwalipa ' Wadeni ' wako wote Mikopo waliyokupa, kwani muda si mrefu utaiona Nguvu ya Wanyarwanda hasa wa Kabila langu la Tutsi. Narudia tena cheza na Watanzania wenzako na acha Kuyaingilia sana ' Masuala ' ya ndani ya nchi ya Rwanda na Serikali yake iliyo chini ya Mwamba na Jemedari Mheshimiwa Rais Paul Kagame.
Naskia PKey kapitia St Augustine na katembelea tembelea Uganda Sana.
Acha wivu mkuu , Tanzania haina mwenyewe , kila mwenye haki ya kuwa Raia anaweza bila kuangalia ASILI yakeni ngumu kuamini bwashee lakini as a country tupo compromised vibaya sana,nenda jukwaa la siasa katafute mada za kumkosoa kagame angalia ya comments vizuri ,angalia hayo majina then rudi hapa kwenye uzi kuhusu dada yao kyln,hawa watu wapo kila mahala sasa hivi,It is just a matter of time ingawa hata haya matukio yanayotokea sasa hivi sishangai,tushaivaa roho yao
\kam unabisha,we endelea kubisha bwashee ila fatilia taasisi ya KYLN kina nani wana i run na wamejaa watu gani uje unipe jibu.
Ndio umeandika kitu gani?Kwani asikofu anaejiitanga baganza alisemaje eti?
Haunaga tofauti na mange kimambiHebu Watanzania ifike muda sasa tubadilike na tuacheni kuwa Wapuuzi wa Kiwango cha Kimataifa cha Kujifanya tunajua kila Sababu za Vifo vinavyowatokea Watanzania wenzetu hasa wenye Umaarufu mkubwa kwani kufanya hivyo ni kutaka Kuyaingilia Majukumu ya Mwenyezi Mungu na Israeli wake ambayo Sisi Wanadamu hatuna na kamwe hatutoweza kuwa nayo.
Yaani hata Mwili wa ' Marehemu ' bado haujawekwa vizuri au haujapoa katika Friji za Mochwari za Abu Dhabi tayari kuna Mtanzania Mmoja ' Mwendawazimu ' aliye Marekani alishaanza kuleta Upuuzi wake wa ' Speculations ' za Kifo hiki na bahati mbaya mno kuwa ' Wendawazimu ' wenzake ambao nao humuamini kwa kila Kitu nao wakamuamini na Kuuendeleza Upuuzi huo huo Mitandaoni na hata katika Vijiwe vyetu vya Majungu.
Hivi kuna Binadamu ambaye ameingia Mkataba wa Kutokufa na Mwenyezi Mungu? Na kama tunajua fika kuwa hata Kiimani Kufa ni Sherehe ya Mwanadamu na Wajibu wake ni kwanini pale Mtu ' Maarufu ' tu akitangulia mbele za haki tunaanza ' Kuzusha ' na Kutengeneza Hisia na Uadui usio na Tija wala Mantiki kwa Familia za hao Wapendwa Marehemu zetu?
Kama kweli mnajifanya mnajua sana sababu Kuu za Vifo vya Watu ' Maarufu ' nchini Tanzania hebu leo basi naomba mniambie Mimi GENTAMYCINE nani alisababisha Vifo vya Yesu Kristo na Mtume Mohammed na kwamba nani alaumiwe hasa kwa Vifo vyao hivyo kwani walikuwa wakati bado Sisi Watenda Dhambi ( nami nikiwemo ) tukiwa bado tunawahitaji sana na mno tu.
Nakiri kuwa katika Familia nyingi za Kitanzania ' Misuguano ' huwa ipo tena sana tu ila ' Misuguano ' ya Wanafamilia isitupelekee Sisi ' Mapopoma / Wapumbavu ' wengine ambao hata hatuhusiki kabisa na hizo Familia kuanza Kutengeneza ' Speculations ' za Kipuuzi huku tukijua kabisa kuwa Wana Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki bado wanamuombeleza Mpendwa Wao.
Kuna Watu nilikuwa nawaheshimu lakini taratibu sasa naanza ' Kuwadharau ' na naanza Kuona ' Laana ' kubwa ikianza Kuwanyemelea hata kama hawaishi hapa Tanzania na wanaishi kwa Donald Trump na Watoto wao waliozaa na Wazungu wasiojulikana. Yaani kuna Watu wamekaa Kimajungu Majungu tu Zari akifanya Jambo watamsema, Diamond akifanya Jambo watamsema ili mradi tu Watu ambao ana Chuki nao kwa ' Interests ' zake mwenyewe wakikengeuka au wakitokewa na Jambo basi hapo hapo anapata nafasi ya Kuwaharibia na Kuwavunjia Heshima.
Mbona na sababu iliyopelekea Kifo cha Baba yake Mzazi huwa haisemi ila sababu za Vifo vya Watu wengine huwa anashadadia tu mara kwa mara? GENTAMYCINE kama Mkristo na Mtu mzuri tu mwenye Hofu ya Mungu natambua ya kwamba Kifo cha Marehemu ni cha Mapenzi yake Mwenyezi Mungu na hakina cha sijui Mkono wa Jackline wala Hussein au mambo mengine na kikubwa tu ni kwamba kwa sasa tunakiwa Kuungana na Familia na Watanzania wengine Kumlilia ' Marehemu ' kisha tuupokee Mwili wake, tumuage na tukamuhifadhi katika Nyumba yake ya Milele huku tukiyaenzi yale yote mema hasa yaliyo katika ile ' Falsafa ' yake ya I CAN, I MUST, I WILL.
Naamini ' Message Sent and Delivered ' kwa itakayomgusa / itakayowagusa.
Nawasilisha.
Pole kwa msiba mwanafamiliaNawasilisha.
Sijakuelewa hapa Mkuu hebu rudia tena kidogo.