Nitaitambuaje kuwa mimba ni yangu?

Nitaitambuaje kuwa mimba ni yangu?

Kubali majukumu babaaa. Ukitoka hapo utaelewa nini maana ya condom.
 
- Usipoona siku zako (menstrual period) ujue mimba ni yako
- Ukiona unapata kichefuchefu asubuhi na kutapika (morning sickness) ujue mimba ni yako
- Ukiona tumbo lako linazidi kukua siku hadi siku ujue mimba ni yako.
😀😀😀😀
Kuna watu mnafikiri kwa haraka sana.
 
swali ulimtia au hukumtia?
je ulitumia condom au hukutumia?
nijibu kwanza halafu nikupe njia
Usimsaidi chochote, maana ukimpa msaada huyo utakuwa umemkandamiza mwanamke mwenzako, atahangaika na mtoto bure. Wewe utakuwa umechangia mateso ya mtoto. Kama alikuwa hatakia mimba kwa nini hakuchukua tahadhari? Hawa ndio wanaowarubuni mabinti watawaoa wakiwatia mimba wanatufa visingizio ili wapate kuwaacha.
 
Tatizo la kuingia kwenye mahusiano huku ukiwa hujajiandaa kuitwa baba....pole sana
 
- Usipoona siku zako (menstrual period) ujue mimba ni yako
- Ukiona unapata kichefuchefu asubuhi na kutapika (morning sickness) ujue mimba ni yako
- Ukiona tumbo lako linazidi kukua siku hadi siku ujue mimba ni yako.
ha ha ha mwehu wewe
 
Daah maswali mengine....
Sasa unataka utambuzi wa mimba kama ni yako au sio yako??Hii inaonesha ni kwa jinsi gani haumuamini huyo mpenzi wako.
 
Njia rahisi subiri mtoto azalie mpe kama miaka miwili au mitatu...then akikosea kitu jaribu kumfokea... Kama akikusikia...basi ni mwanao...lakini AKIKUPIGA NA FAGIO AU kiatu..kama REVANGE.. Kwann ulimfokea...ujuwe huyo sio wako..hyo ni DNA ya asili...
 
Usikatae kitu ulichofanya au kusababisha kweli...

Kama ulilale nae, ukazifwatua ndani akiwa kwenye siku za hatari... Hiyo ni yako... Vipimo vya nini...


Cc: mahondaw
 
Lea mimba kwa uvumilivu.. Mtt akizaliwa utaweza kuthibitisha iwapo ni wako au lah!
 
Back
Top Bottom