Nitaitambuaje kuwa mimba ni yangu?

- Usipoona siku zako (menstrual period) ujue mimba ni yako
- Ukiona unapata kichefuchefu asubuhi na kutapika (morning sickness) ujue mimba ni yako
- Ukiona tumbo lako linazidi kukua siku hadi siku ujue mimba ni yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni ngumj kujua!!! Cha kufanya ni ukumbuke ulimfanya lini na mkapime umri wa ujauzito... Utafahamu wiki ata siku ulioingia
 
Kama ulikula tunda tena ukamenya na ganda aisee hiyo ni mimba yako acha kukimbia majukumu. Mhudumie na umpende binti wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…