Nitaji online bussine au E-commerce unao wakubalia au walikutapeli tuwajue

Nitaji online bussine au E-commerce unao wakubalia au walikutapeli tuwajue

Jemima Jackson

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
748
Reaction score
934
Habari wadau!

Huu nimuda wa kutangaza na kupenda vitu vyetu ili kukuza uchumi wetu mtu moja moja na maendeleo ya nchi yetu kwa ujumla.

Taja jina la online business ambazo sio za kitapeli pia na zakitaeli sio mbaya tukazijua kupita kwenye uzii huu
Taja sabu au tofatu yake na nyingi ili watu tujue siku tukitaka kununua online tusibabaike

Nivizuri kutoa maelezo ya ukweli sio kubambika au chafua kupita kwenye mitandao lengo ni kujua Online busine ambazo ni mzuri na uzurika nini

kama online ya kitapeli sema ilikutapeli nini .
 
1. Mkuu hiyo site unayoipigia debe kila siku ni e-commerce website au ni forum?
2. Ofisi zao ziko wapi?
Uko nje ya Mada mkuu soma vizuri kabla ya kuko comment weka e-commerce unayoijua inafanya vizuri au kama Kuna online website yoyote unaijua weka hapa tuipitie acha mambo ya kiswahili forum maana yake nini?

Hii site unayoiponda nimeipita Ina Google AdSense kwasali lako lapili kuhusu office unaoneka ni mjinga sana Google wamejibu swali lako

Kikubwa jikite kwenye Mada mkuu
 
1. Mkuu hiyo site unayoipigia debe kila siku ni e-commerce website au ni forum?
2. Ofisi zao ziko wapi?
1.Ikiwa forum inakosa sifa za kuwa online business ?

2.Umefungua link ukakosa ofisi?

3.Kilasiku uko hapa kuangalia nani anatangaza nini kwanini atangaze?
 
Nida danish wako vizuri
Changamoto ni kwenye delivery
 
Nida danish wako vizuri
Changamoto ni kwenye delivery
Nida Nanish ikowapi tuweke link tuwajue wateja watembele hizo online business

Ingekuwa vizuri kama ungefafanua kwenye delivery wanakwama wapi au ilikuwaje ulipoagiza bidhaa kwao.

Hapa msiweke link wala majina ya online business zinazo tapeli watu.

Changamoto inategemea zikoje sio jambo lakushangaza,badae utuliwa

Platforms nazozunguzia sio mtu anauza bidhaa zake kwenye status ya whatspp au kwenye mitandao ya kijamii hapana.

Tusichanganye mambo Kuna baadhi ya watu wanashindwa kutofautisha hizi mambo,mtu kama anauza bidhaa zake online sio kosa ila sijalenga hawa watu.

Platform ya mtandaoni lazima Iwe nasifa zifuatazo.

1.Jinala la biashara lisajiliwa na mamlaka za nchi

2.Gateways au njia za malipo zenye Jina la biashara nfano kama platform yako inatwa sokoni basi account namba nilazima zisome Jina la sokoni

Usitume pesa kwenye account yenye Jina binafsi iwe ya simu au ya bank kwenye biashara za online.

Unaweza kuongezea Platforms au online business inapaswa iweje ili baadhi ya watu wasichanganye hizi mambo.
 
Nyuzi zimefanana kule nime comment kwa kina tatizo ni uswahili mwingi

Jamamii imevurugwa watu wanapotosha makusudi hawataki platform za ukweli zijulikane ili kwendelee kuwa na sintofahamu kwenye online business wanafaika ni matapeli wananguvu sana.

Ukiweza kutengeza hizi platform za online ukitaka ikulipe usilenge kufanya bishara Tanzania utapoteza pesa zako hizi platform ni garama sana kuzienda ukikuta wateja waswahili kama hapa imekula kwako
 
Ni
Nida Nanish ikowapi tuweke link tuwajue wateja watembele hizo online business

Ingekuwa vizuri kama ungefafanua kwenye delivery wanakwama wapi au ilikuwaje ulipoagiza bidhaa kwao.

Hapa msiweke link wala majina ya online business zinazo tapeli watu.

Changamoto inategemea zikoje sio jambo lakushangaza,badae utuliwa

Platforms nazozunguzia sio mtu anauza bidhaa zake kwenye status ya whatspp au kwenye mitandao ya kijamii hapana.

Tusichanganye mambo Kuna baadhi ya watu wanashindwa kutofautisha hizi mambo,mtu kama anauza bidhaa zake online sio kosa ila sijalenga hawa watu.

Platform ya mtandaoni lazima Iwe nasifa zifuatazo.

1.Jinala la biashara lisajiliwa na mamlaka za nchi

2.Gateways au njia za malipo zenye Jina la biashara nfano kama platform yako inatwa sokoni basi account namba nilazima zisome Jina la sokoni

Usitume pesa kwenye account yenye Jina binafsi iwe ya simu au ya bank kwenye biashara za online.

Unaweza kuongezea Platforms au online business inapaswa iweje ili baadhi ya watu wasichanganye hizi mambo.
NidaDanish
Wall dar es salaam kariakoo Shida wanatumia madalali na sio makampuni ya logistics hivyo viti uchelewavkufika ila bidhaa ni quality
 
Back
Top Bottom