Nida danish wako vizuri
Changamoto ni kwenye delivery
Nida Nanish ikowapi tuweke link tuwajue wateja watembele hizo online business
Ingekuwa vizuri kama ungefafanua kwenye delivery wanakwama wapi au ilikuwaje ulipoagiza bidhaa kwao.
Hapa msiweke link wala majina ya online business zinazo tapeli watu.
Changamoto inategemea zikoje sio jambo lakushangaza,badae utuliwa
Platforms nazozunguzia sio mtu anauza bidhaa zake kwenye status ya whatspp au kwenye mitandao ya kijamii hapana.
Tusichanganye mambo Kuna baadhi ya watu wanashindwa kutofautisha hizi mambo,mtu kama anauza bidhaa zake online sio kosa ila sijalenga hawa watu.
Platform ya mtandaoni lazima Iwe nasifa zifuatazo.
1.Jinala la biashara lisajiliwa na mamlaka za nchi
2.Gateways au njia za malipo zenye Jina la biashara nfano kama platform yako inatwa sokoni basi account namba nilazima zisome Jina la sokoni
Usitume pesa kwenye account yenye Jina binafsi iwe ya simu au ya bank kwenye biashara za online.
Unaweza kuongezea Platforms au online business inapaswa iweje ili baadhi ya watu wasichanganye hizi mambo.