Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

kwamba comments zangu huzioni au? bro kama hazipatikani si unasema tu
 
Ukijibu hapa hapa inakuongezea wateja hujui tu,watu hawapndelei hyo ma website
Tatizo sio kujibu au ukingia kwenyewe website tatizo ni kuhudumiwa yeye hana uweze wakujua bei za kilakitu karikoo China SouthAfrica Japan ningumu ukipost kwenye website utajibiwa na wauzaji wakiwa sehemu mbalimbali records zinabaki kwakijili ya siku za usoni nadhani yuko sawa ndio maana achelewa kujibu
 
Ni kweli naomba watu kuweni wavumilivu kupitia kwenye uzii huu kila mtu atapa bidhaa anazozitafuta
 
Napata kwa bei gani boss hii kitu ?
Ps4 pro
2 controlers
Storage : 1 tb
Free cd : Fifa 21 Hdmi&Power cable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…