Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,400
Camera?Samsung A50
ongeza maelezo kidogoMkuu nataka camera ya Samsung A50, itawezekana kweli? Nipe muongozo.
Nashida mkanda wa usalama wakujifunga kwenye gari.ongeza maelezo kidogo
Nashida mkanda wa usalama wakujifunga kwenye gari
Nashida mkanda wa usalama wakujifunga kwenye gari.
Samahani mkuu sikuwa online, nlimaanisha spea ya camera ya Samsung A50 (2019) . Nimepasua iliyopo inaonyesha ukungu tu ila simu bado mpya sana.ongeza maelezo kidogo
Vitu tofauti na hivyo ulivyotaja navyo mnaagiza?Habari wana mzengo!
Nafanya biashara za kuagiza laptops, ipad, camera mitambo tools machines magari ,spare za magari ya kukata, Generators na nk , kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja hapo juu, nipe ordar nikuagizie kwa pesa zangu mzigo ukifika unakuja kulipia na kuchukua mzigo wako.
- kuweka order yako au kutembelea website tetu bonyeza hapa Urgently Items Wanted in Japan
- kujisajili bonyeza hapa
- login bonyeza hapa
- Piga simu/Whatsapp 0712 708245
Majibu yapo huko juu.Vitu tofauti na hivyo ulivyotaja navyo mnaagiza?
Ok ngoja nifanyie kaziSamahani mkuu sikuwa online, nlimaanisha spea ya camera ya Samsung A50 (2019) . Nimepasua iliyopo inaonyesha ukungu tu ila simu bado mpya sana.
Ndiyo ulitaka nini?Vitu tofauti na hivyo ulivyotaja navyo mnaagiza?
Air Conditioned jacketNdiyo ulitaka nini?
bei 100kNashida mkanda wa usalama wakujifunga kwenye gari.
ngoja niangaliePixel 6 pro bei gan mkuu, naomba unijib apa
tayariNashida mkanda wa usalama wakujifunga kwenye gari.
NimekosaPixel 6 pro bei gan mkuu, naomba unijib apa
Nichache sanaSamsung a42 unlocked utaniletea kwa kiasi gani