Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

Mkuu nataka camera ya Samsung A50, itawezekana kweli? Nipe muongozo.
 
Habari wana mzengo!

Nafanya biashara za kuagiza laptops, ipad, camera mitambo tools machines magari ,spare za magari ya kukata, Generators na nk , kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja hapo juu, nipe ordar nikuagizie kwa pesa zangu mzigo ukifika unakuja kulipia na kuchukua mzigo wako.

  1. kuweka order yako au kutembelea website tetu bonyeza hapa Urgently Items Wanted in Japan
  2. kujisajili bonyeza hapa
  3. login bonyeza hapa
  4. Piga simu/Whatsapp 0712 708245
Vitu tofauti na hivyo ulivyotaja navyo mnaagiza?
 
Pixel 6 pro bei gan mkuu, naomba unijib apa
 
Samsung a42 unlocked utaniletea kwa kiasi gani
 
Back
Top Bottom