Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

1668170371135.png

iko spkoni
 
Heavy Duty Dell Machine
(engineerng design,grphics design & games)

-storage.
ROM/HDD: 1TB
RAM: 16GB DDR4

Processor: Intel Core i7, 2.4Mhz with graphics card.

System: x64 bit-based processor

Screen: 15.6"

Keyboard: black

Window 10 pro

Battery: 4hrs

Condition: CLEAN.(haina tatizo lolote)

bei: 650K
Oyaa hii unayo kama ipo nichek dm
 
Mkuu Nina shida na vifaa vya media production (ishu za camera za video na mazaga zaga yake kiujumla naweza kupata camera Kwa Bei gan

Nataka kumfungulia dogo biashara za video production na ishu za photoshoot
 
Utapata ni vizuri uvitaje pia ukiwe post moja kwamoja kwenye website yetu inakuha rahisi watu waliko Japan wanaona nakufanyia kazi
 
Back
Top Bottom